Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Erick hakuw na ukubwa huo wa kutolewa michango ifikie mil 60Hao ndugu hawana jipya erick kaugua kafia nyumbani kafariki wameshindwa kumsafirisha leo wasanii wenzake wamejichanga kumsitiri mwenzao wanaleta tantalila
Sifahamu kwa hakikaMaradhi yale maradhi ?...au maradhi kawaida tu
Wapuuzi hao ndugu ustaa huko kwao Mwanza sio Dar,wanaijua 60m au wanaiskia tuuHuyu hakuwa lna umaarufu kivile....hata milioni sizani km zilitoka. Ndugu waache tamaa
Aliwaaminisha ndugu zake kwamba yeye ni msanii mkubwa sanaWasanii na USANII wao, hawaaminiki lakini sidhani kama ERICK alikuwa na jumuia ya kumchangia hiyo milioni 60 ukizingatia muda mrefu hana kazi za kubamba kama kipindi kile
Kama zimechangwa na kuliwa ndio hapo msemo wa kufa kufaana unapochukua nafasi
Ama ndugu zake wao ndio walikuwa wanamchulia hivyo.Aliwaaminisha ndugu zake kwamba yeye ni msanii mkubwa sana
Hio ndio inaitwa 'Mbwa kala Mbwa"Wasanii na USANII wao, hawaaminiki lakini sidhani kama ERICK alikuwa na jumuia ya kumchangia hiyo milioni 60 ukizingatia muda mrefu hana kazi za kubamba kama kipindi kile
Kama zimechangwa na kuliwa ndio hapo msemo wa kufa kufaana unapochukua nafasi
wanaonaga wasanii hawana ndugu wenye uwezo sijuiAcha dharau ww binti, ndugu zake wasingeshindwa kumsafirisha usichukulie watu poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Lamata na Steve walikosea Sana, wangeacha hao ndugu wasafirishe tuone Sasa Kama wangeweza na bado wangelaumu bongo Movie hawana uahirikianoNdugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60.
Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari nzima ilikuwa imebana sana kwani michango haikupatikana kabisa hadi kupelekea wao kukosa usafiri hadi pale Lamata Leah na Steve Nyerere walipookoa jahazi kwa kutoa gari.
Maoni yangu: ndugu walipaswa kuwashukuru watu waliopigana kuhakikisha mwili wa ndugu yao unasafirishwa hadi kwao maana wasingejitoa angezikwa na Manispaa.
View attachment 2329844
Huu ugonjwa unasababishwa na nini?Kansa ya ngozi
Hata sijui mkuuHuu ugonjwa unasababishwa na nini?
Kwa kinyampe ilikuwaje??Yaani Lamata na Steve walikosea Sana, wangeacha hao ndugu wasafirishe tuone Sasa Kama wangeweza na bado wangelaumu bongo Movie hawana uahirikiano
Nshaona Kinyambe alivokufa wakichangisha watu pale Uyole Mbeya ili wamsafirishe kwao