kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Aug 22, 2022 #41 exalioth said: Stivu ake Katoa gari bure Jamani huyi mtu anaroho nzuri Click to expand... Hivi huyo kuwadi ana gari kweli?
exalioth said: Stivu ake Katoa gari bure Jamani huyi mtu anaroho nzuri Click to expand... Hivi huyo kuwadi ana gari kweli?
mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 23,965 Reaction score 131,949 Aug 23, 2022 #42 Mshana Jr said: Aliwaaminisha ndugu zake kwamba yeye ni msanii mkubwa sana Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani
Mshana Jr said: Aliwaaminisha ndugu zake kwamba yeye ni msanii mkubwa sana Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Aug 23, 2022 #43 Wasanii na fursa zao lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,203 Reaction score 28,789 Aug 23, 2022 #44 Nakadori said: Kwa kinyampe ilikuwaje?? Click to expand... Waliunga unga wakasafirisha kupeleka kwao Mbeya hukoo!hawana shukrani nadhani walidhani ndugu yao Ana jina kuubwa kumbe Hana lolote! Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakadori said: Kwa kinyampe ilikuwaje?? Click to expand... Waliunga unga wakasafirisha kupeleka kwao Mbeya hukoo!hawana shukrani nadhani walidhani ndugu yao Ana jina kuubwa kumbe Hana lolote! Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,778 Reaction score 21,010 Aug 23, 2022 Thread starter #45 reymage said: Waliunga unga wakasafirisha kupeleka kwao Mbeya hukoo!hawana shukrani nadhani walidhani ndugu yao Ana jina kuubwa kumbe Hana lolote! Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hahaha kuna pasta mmoja tulimsafirisha kwenda tanga kuzikwa...tulipofika wakawa wanalia eti mengi wao amefarikiiiii wakati sie Town tulimuona wa kawaida tuu
reymage said: Waliunga unga wakasafirisha kupeleka kwao Mbeya hukoo!hawana shukrani nadhani walidhani ndugu yao Ana jina kuubwa kumbe Hana lolote! Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hahaha kuna pasta mmoja tulimsafirisha kwenda tanga kuzikwa...tulipofika wakawa wanalia eti mengi wao amefarikiiiii wakati sie Town tulimuona wa kawaida tuu
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Aug 23, 2022 #46 Njaa kali