Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

Anza kushinda na boxer sebuleni, tena hakikisha kende moja linachungulia. Watakata mguu hao.

Ila chief kama swala dogo kama kuchukizwa na ugeni kwako unashindwa lifikisha kwa mkeo, mambo mengine makubwa utaweza yafikisha kweli? Baba mwenye nyumba unapaswa uwe na sauti moja tu.

Hii iwe fundisho kwako, usiruhusu jambo likuwe ndio utake ku li address. Ilipaswa baada ya mgeni wa pili tu uanze kuhoji.
 
Bro hivi umeoa?kwangu nitoe taharifa nisitoe ni sawa
Nimeoa na naipenda familia yangu mkuu.

Kwani ukiwaambia kama unaenda itakuwa nini mkuu? Utageuka sio baba au mama atachukua nafasi yako?

Yeye mkeo akiondoka na akirudi bila taarifa ni sawa au kwa kuwa yeye ni mke?

Bro utemi wa baba unapimwa kwa kuhudumia familia yake, kuipenda, kuwa rafiki wa familia na kuwapa amani na good time. Haya ya kusema hapa mimi ni baba na unaishi nao kama kambi ya jeshi ni za kizamani hizo jomba.

Hebu siku mfanye mkeo awe mshkaji wako alafu utaniambia
 
Unakosea broo kwako hajuna wa kukupangia kama utoe taharifa labda kama nyumba kajenga mwanamke au kodi analipa mwanamke,mnawadekeza sana wanawake moaka wanawaoanda vichwani
 
Kwa dalili zilizopo tatizo sio taarifa bali tatizo ni kuwa keshafanywa mgeni nyumbani kwake mwenyewe.
 
Mm so kukaa kende moja nje ndo solution?
 
Je,hao wageni wameivunja heshima yako?
 
Ndo shida hizo ukioa familia za kiswahili na ukaonekana una nafuu kidg Familia nzima ya mkeo inahamia kwako wanampa na dawa za kukuroga maana unaonekana kama mkombozi wa familia....ukifanya mchezo unaanza kuchomekewa na ada za Mashemeji na matumizi ya ukweni and Cha kushangaza ndugu zako watakuwa wanabinywa kisirisiri kuja kwakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Familia iliyostaarabika ni aibu kwenda kukaa alipoolewa ndugu Yako unless kuna sababu ya Msingi maana wote mnaoenda pale mnakuwa km mmeenda kuolewa na jamaa
 
Liangalie in a Mathematical paspective hapo tayari una wake watatu wakule upate heshima yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…