Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Na huyo wifi ake Mkewe je? ππHuyo wa chuo kwanini usifanye ile mambo ya Mtoto kautaka?
Daah ila JAMIIFORUMS ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyo wifi ake Mkewe je? ππHuyo wa chuo kwanini usifanye ile mambo ya Mtoto kautaka?
Nimeoa na naipenda familia yangu mkuu.Bro hivi umeoa?kwangu nitoe taharifa nisitoe ni sawa
Unakosea broo kwako hajuna wa kukupangia kama utoe taharifa labda kama nyumba kajenga mwanamke au kodi analipa mwanamke,mnawadekeza sana wanawake moaka wanawaoanda vichwaniNimeoa na naipenda familia yangu mkuu.
Kwani ukiwaambia kama unaenda itakuwa nini mkuu? Utageuka sio baba au mama atachukua nafasi yako?
Yeye mkeo akiondoka na akirudi bila taarifa ni sawa au kwa kuwa yeye ni mke?
Bro utemi wa baba unapimwa kwa kuhudumia familia yake, kuipenda, kuwa rafiki wa familia na kuwapa amani na good time. Haya ya kusema hapa mimi ni baba na unaishi nao kama kambi ya jeshi ni za kizamani hizo jomba.
Hebu siku mfanye mkeo awe mshkaji wako alafu utaniambia
Kwa dalili zilizopo tatizo sio taarifa bali tatizo ni kuwa keshafanywa mgeni nyumbani kwake mwenyewe.Nimeoa na naipenda familia yangu mkuu.
Kwani ukiwaambia kama unaenda itakuwa nini mkuu? Utageuka sio baba au mama atachukua nafasi yako?
Yeye mkeo akiondoka na akirudi bila taarifa ni sawa au kwa kuwa yeye ni mke?
Bro utemi wa baba unapimwa kwa kuhudumia familia yake, kuipenda, kuwa rafiki wa familia na kuwapa amani na good time. Haya ya kusema hapa mimi ni baba na unaishi nao kama kambi ya jeshi ni za kizamani hizo jomba.
Hebu siku mfanye mkeo awe mshkaji wako alafu utaniambia
Mm so kukaa kende moja nje ndo solution?Anza kushinda na boxer sebuleni, tena hakikisha kende moja linachungulia. Watakata mguu hao.
Ila chief kama swala dogo kama kuchukizwa na ugeni kwako unashindwa lifikisha kwa mkeo, mambo mengine makubwa utaweza yafikisha kweli? Baba mwenye nyumba unapaswa uwe na sauti moja tu.
Hii iwe fundisho kwako, usiruhusu jambo likuwe ndio utake ku li address. Ilipaswa baada ya mgeni wa pili tu uanze kuhoji.
Daaah,Hawaji na chochote mzee
Unajua kende lilivyo likisinyaa?? Halafu ndio binti aone la shemeji yake, ataaga saa hiyo hiyo.Mm so kukaa kende moja nje ndo solution?
Je,hao wageni wameivunja heshima yako?Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then narudi kituo changu cha kazi.
So ktk ujaji wangu home me huwa sitoi taarifa kwa yeyote huwa nawashtukiza tu ghafla ghafla..
Kama mara tano hivi kila nikija home nakuta ndugu za wife tofauti tofauti wapo home hapa,me sikua naona shida sana as me hawanibani kwa lolote,last month nilikuja nikamkuta mdogo wa wife na mwanae wako hapo home na toka nifike mpaka wanaondoka tulikaa nao karibu siku 8 sikutaka kuuliza wamekuja lini.
So jana tena nimekuja kimya kimya home nimemkuta ndugu mwingine wa kike wa wife wamefunga chuo yupo home hapa sijahoji lolote.
So leo nikiwa ndani na laptop yangu namalizia vimeo vyangu vya job mara ghafla nasikia geti linagongwa kaingia wifi wa wife yani mke wa kaka yake na mwanae na ninavyoona hawa sio wa kuondoka leo coz naona mpaka wana kibegi wamebeba.
Sitaki kumuuliza wife hizi mambo za ndugu zake kuja hapa as anajua me sio mtu wa kujali sana mambo hayo ila sasa kama baba wa familia nashangaa kwa nini sihusishwi kwenye ujaji wa hawa wageni as mnavyojua sahivi hali ya maisha imekua ngumu kidogo na watu tunapambania tu familia zetu ziende chooni, sasa huu ugeni mwingine ambao mimi nakua sina taarifa nao naona ka unaenda kinyume na bajeti zangu za mwezi.
Mimi binafsi ndugu zangu huwa wanatoa taarifa siku 3 nyuma kabla hawajaja kwangu hivyo tunajiandaa mapema.
So wakuu hii kitu imekaa kitaalamu kweli na nitumie mbinu gani kufikisha ujumbe kwa wife bila kumkwaza?
Liangalie in a Mathematical paspective hapo tayari una wake watatu wakule upate heshima yakoHabari zenu watu wa mapenzi.

Naye hivyo hivyo, mtoto kautakaNa huyo wifi ake Mkewe je? ππ
Daah ila JAMIIFORUMS ππππ
Wanakula msosi wake.Je,hao wageni wameivunja heshima yako?
Kwani haipenyi. Tembezea moto wote tu.Na huyo wifi ake Mkewe je? ππ
Daah ila JAMIIFORUMS ππππ
MKE WAKO YUKO KWENYE ULE MCHAKATO WA KUKUTEMA KATIKA MILIKI ZAKO, AMKA KAKA YANGU YAJAYO YANAFURAHISHA, MALI ZAKO ZOTE ATAMILIKI MKE WAKO
Watakua waha .hao shemeji zako siyo wapare kweli?