Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

Hii ni point kubwa, una wazo la akili. Ajibu hili swali.
 
Umeeleweka chief
 
Umeeleweka chief
 
Inaonekana unamaisha mazuri. Ingekuwa pangu pakavu wasinge kuwa wanakanyaga, hata mkee wako angekuwa anaona aibu kuwaleta hapo
Maisha ya kawaida tu,tunabangaiza chief.
 
Piga pumb.u mmoja mmoja watahadithiana huko na ndio utakua mwisho wa wao kukanyaga hapo kwako.
Afu unaonekana huna sauti kwa mkeo we jamaa,possibly keshakuset huyo tayari.
 
Una point kwenye hoja yako.

Kingine nilichokiona katika maelezo yake ni kwamba mkewe alishamsoma kwamba 'mme wangu hana shida na mambo madogo madogo' na hayo alishawaeleza ndugu zake.

Yawezekana pia tabia za mwanamke huyo zikawa ni za ufujaji na si ujengaji.
 
Nmetoka kuwaaga shemej zangu wawili na Mtoto mmoja wote wamerud mkoani asbuh ya kuamkia Jana.

Nilitaarifiwa na wife pamoja na ma mkwe kua Kuna shemeji yangu watakuja k'koo kufunga mzigo so watafikia kwangu, nikasema OKEY

Siku ya siku,
Nashangaa nampokea shemej yangu akiwa na mwanae (1yr) pamoja na mdg wake wa kike (20yrs), wakiwa binamu Yao WA kiume (17yr).

Wamekaa home almost wiki,sioni dalili yyt ya kwenda kufunga mzg k'koo Wala nini, nikaambiwa shemej anasubir atumiwe Ela na mumewe.

Nikahoji hao wengn vipi, nikaambiwa uyo WA kike kamsindkza dada ake kufunga mzgo, na uyo WA kiume kaja kuangalia vyuo vya kusoma mana matokeo yake ya form4 hayakua mazuri. Nikapiga Kimya.

Wamekaa almost mwezi na wiki 1, wife kaja kumuombea dada ake nauli anaomba arud mkoani, nikahoji mtu kaja kibiashara afu naul nimlipie Mimi
iyo vipi, akasema wamegombana na mmewe kaghairi kumpa nauli. Nikaona sio kesi, nikampa nauli akakate ticket aende.

Yule mdg wake nae kanifata anaomba nauli aende na dada ake. Nikamwambia mbona ghafla Sana, sikua na bajet iyo, Endelea kukaa nikipata nauli utarud mkoani. Kasema sawa.

Kesho yake Nashangaa shemej na mdg wake wote wamefungasha, nikaulza vp wee mdg SI unabaki, akasema "mama kantumia nauli,so na Mimi narud mkoani". Nikamtakia KILA la heri.

Yule binamu wa kiume, nafikiria wiki ijayo nimpe TU nauli nae arud mkoani maana sioni Cha maana kilichomleta mjini,maana ata vyuo alivyosema kaja kuangalia hajishughulishi navyo zaidi ya ubishi WA Simba na yanga.

Yote Kwa yote,
Wageni Ni baraka, Home Palichangamka Sana, Ila Wageni waje Kwa utaratibu na Kwa Sababu maalum.
 
😁😁😁 washajua baba mkali na ana misimamo.
 
Inaonekana wewe ndio mke humo ndani.
 
Well said 🤣🙌
 
Wabandue, mkeo akijua atawazuia wasije kwake.
 
MWAMBIE HIVI: MKE WANGU, NDUGU ZAKO NAWAPENDA SANA KIASIKWAMBA NAJISIKIA VIBAYA WAKIONDOKA BILA MIMI KUWAPA CHOCHOTE KWAKUWA MUDA MWINGINE NAKUWA SINA TAARIFA KAMA WANAKIJA, ILA WANGEKUWA WANANIPA TAARIFA KABLA NINGEWEZA KUJIANDAA NA KUFANYA JAMBO ZURI. HIVYO MKE WANGU NIWE NAPEWA TAARIFA YA UJIO WAO. NAKUPENDA MKE WANGU.
 
Nimeipenda hii

Na asishangae behind the scene mke analalamika yan mume wangu hata nikifanya jambo gani yan hasemi kabisa?
au itakua amewekewa nyama ndan ya knyama kisha akala.ndo mana amekua soyboy, simps boy, yan huna la kumwambia mkeo yan daaaaah shame upon u bro embu badlisha mfumo usiangalie ataaccept vp ww ndo kchwa hapo na una maamuz
BE ALPHAMAN smamia uwanaume wako babu
alaf jiunge telegram channel ya WAFALME ndo utaelewa yan mwanaume unakosa maamuz na kwako kwel daaaaah daaaah daaaah shame upon u upto when yu change ur stupid mind
 
anaanzaje na anamuogopa mke wake huyo
kiufup ukwel unauma na kama mwanaume asimamie uwanaume wake kiufup kama yeye ndo anatafuta.hapasw kupleaseplease kzembe yan maana yangu n kwamba amfungukie ukwel no.matter what hali ngumu sanaa mafuta hayachanganyikan na maji yan kwaio aamue kua mwanaume thabit kchwa cha familia thabit au alearn from hardway
 
unalosema sahiii lakin swala n taarfa babu
kama mwanaume inapashwa upewe taaarfa il ujipange no matter bajet mkewe anamanange suala n taarfa
what if wagen wanakuja bajet inatosha lakn maalage na mboga za majan na ugal kila sku hao.wagen unazan wakiondoka watakaaa tyuuu kmya aiseee? kupewa taarfa n muim ili hata bajet iongezeke ya kubadlisha mlo pengnepo kuwatoa auti kidgo na mamb mengne ili sku.nyngne wawez kurud tena
ALAF NNA WASIWASI NA WW huenda hujafkilia mbali ww
pia n kwel wagen baraka lakn kwa zama hz wagen lawama kama hatokbaliana na hali iliopo nyumban kwako
 
There's something bing in your HOUSE

Ukiona MTU akae na kupanga safari ya kuja kukusalimi kwako you need to Appreciate it .

Ushauri
Mfundishe tu mkeo kuwa ni vizuri akawa anakupa taarifa mbalimbali za ujio wa wageni hapo nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…