Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then narudi kituo changu cha kazi.
So ktk ujaji wangu home me huwa sitoi taarifa kwa yeyote huwa nawashtukiza tu ghafla ghafla..
Kama mara tano hivi kila nikija home nakuta ndugu za wife tofauti tofauti wapo home hapa,me sikua naona shida sana as me hawanibani kwa lolote,last month nilikuja nikamkuta mdogo wa wife na mwanae wako hapo home na toka nifike mpaka wanaondoka tulikaa nao karibu siku 8 sikutaka kuuliza wamekuja lini.
So jana tena nimekuja kimya kimya home nimemkuta ndugu mwingine wa kike wa wife wamefunga chuo yupo home hapa sijahoji lolote.
So leo nikiwa ndani na laptop yangu namalizia vimeo vyangu vya job mara ghafla nasikia geti linagongwa kaingia wifi wa wife yani mke wa kaka yake na mwanae na ninavyoona hawa sio wa kuondoka leo coz naona mpaka wana kibegi wamebeba.
Sitaki kumuuliza wife hizi mambo za ndugu zake kuja hapa as anajua me sio mtu wa kujali sana mambo hayo ila sasa kama baba wa familia nashangaa kwa nini sihusishwi kwenye ujaji wa hawa wageni as mnavyojua sahivi hali ya maisha imekua ngumu kidogo na watu tunapambania tu familia zetu ziende chooni, sasa huu ugeni mwingine ambao mimi nakua sina taarifa nao naona ka unaenda kinyume na bajeti zangu za mwezi.
Mimi binafsi ndugu zangu huwa wanatoa taarifa siku 3 nyuma kabla hawajaja kwangu hivyo tunajiandaa mapema.
So wakuu hii kitu imekaa kitaalamu kweli na nitumie mbinu gani kufikisha ujumbe kwa wife bila kumkwaza?
Wewe ndiye unamjua mkeo...nikiamini uko mature enough ilikua ni suala la kukaa na kuzungumza na mkeo
 
Mkuu, inaonyesha UNAMUOGOPA MKEO, kitu ambacho ni sahihi. Accept it or Not.

Jingine pia inaonekana umeoa COOPERATE WOMAN, Yaani Mke mfanyakazi, hivyo ndio maana UNAMUOGOPA.

USHAURI: Kwenye Ulimwengu wa Mapenzi, ukiona Mwanaume unahofia kumkwaza Mke wako, basi ni ishara kuwa ameshakupanda kichwani, kwasababu maamuzi mengi ya KIUME huwa hayawafurahishi wanawake, na mara zote ndio maamuzi sahihi.

Fanya maamuzi wa kuweka sheria katika nyumba yako na hakikisha umeyasimamia. Swala la kumkwaza au kuto-mkwaza hilo muachie yeye. Wewe weka sheria na zisimamie FULLSTOP.

Be a Man, mwanaume hupaswi kukosa Uhuru nyumbani kwako.
Chief sio virahisi kama unavyojaribu kuelezea hapa ...yaani kitendo tu kumwambia mke wako kwanini ndugu zako wanakuja hapa bila taarifa kinaweza kuzua ugomvi mkubwa sana utakaohusisha hadi ndugu

Approach ya jambo kama hili unatakiwa ulifanye kwa busara ya hali ya juu na sio kutumia ubabe. Ubabe kwenye ndoa haujawahi kuwa na msaada zaidi ya kuharibu zaidi.
 
Zungumza na mkeo kwa ukarimu kuhusiana na jambo hilo.
Kama mwenye nyumba lazima upewe taarifa kuhusiana na wageni wanaokuja.
Na wageni lazima waeleze kwa nini wanakuja! Wanakaa muda gani?
Aise! Mkeo ni Msambaa?
 
Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then narudi kituo changu cha kazi.
So ktk ujaji wangu home me huwa sitoi taarifa kwa yeyote huwa nawashtukiza tu ghafla ghafla..
Kama mara tano hivi kila nikija home nakuta ndugu za wife tofauti tofauti wapo home hapa,me sikua naona shida sana as me hawanibani kwa lolote,last month nilikuja nikamkuta mdogo wa wife na mwanae wako hapo home na toka nifike mpaka wanaondoka tulikaa nao karibu siku 8 sikutaka kuuliza wamekuja lini.
So jana tena nimekuja kimya kimya home nimemkuta ndugu mwingine wa kike wa wife wamefunga chuo yupo home hapa sijahoji lolote.
So leo nikiwa ndani na laptop yangu namalizia vimeo vyangu vya job mara ghafla nasikia geti linagongwa kaingia wifi wa wife yani mke wa kaka yake na mwanae na ninavyoona hawa sio wa kuondoka leo coz naona mpaka wana kibegi wamebeba.
Sitaki kumuuliza wife hizi mambo za ndugu zake kuja hapa as anajua me sio mtu wa kujali sana mambo hayo ila sasa kama baba wa familia nashangaa kwa nini sihusishwi kwenye ujaji wa hawa wageni as mnavyojua sahivi hali ya maisha imekua ngumu kidogo na watu tunapambania tu familia zetu ziende chooni, sasa huu ugeni mwingine ambao mimi nakua sina taarifa nao naona ka unaenda kinyume na bajeti zangu za mwezi.
Mimi binafsi ndugu zangu huwa wanatoa taarifa siku 3 nyuma kabla hawajaja kwangu hivyo tunajiandaa mapema.
So wakuu hii kitu imekaa kitaalamu kweli na nitumie mbinu gani kufikisha ujumbe kwa wife bila kumkwaza?
big no, mkeo lazima akuhusishe before waje. kuna zile dharura zinajulikana mtu anatatizo flani anakuja ghafla kuona mnamsaidiaje, but hiiya kuja like that? tena mume hajui? hapana

hapo mwenye shida ni mkeo, usiogopemwambie kwa sasa unahitaji privacy na familia yako tu, mtu akitaka kuja atoe taarifa na akuambie ili kama unaruhusu waje au wasije,

me ni mwanamke naelewa naelewa binadamu tulivo, ukiachia hiyo tabia iendelee hivo? utajua hujui, watu ukiwapa ufree huo wataingia hadi vyumbani na heshimaya mumeitaondoka , watakua wanakuona shost yao tu au kaka yao tu huna lolote[emoji34]
 
Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then narudi kituo changu cha kazi.
So ktk ujaji wangu home me huwa sitoi taarifa kwa yeyote huwa nawashtukiza tu ghafla ghafla..
Kama mara tano hivi kila nikija home nakuta ndugu za wife tofauti tofauti wapo home hapa,me sikua naona shida sana as me hawanibani kwa lolote,last month nilikuja nikamkuta mdogo wa wife na mwanae wako hapo home na toka nifike mpaka wanaondoka tulikaa nao karibu siku 8 sikutaka kuuliza wamekuja lini.
So jana tena nimekuja kimya kimya home nimemkuta ndugu mwingine wa kike wa wife wamefunga chuo yupo home hapa sijahoji lolote.
So leo nikiwa ndani na laptop yangu namalizia vimeo vyangu vya job mara ghafla nasikia geti linagongwa kaingia wifi wa wife yani mke wa kaka yake na mwanae na ninavyoona hawa sio wa kuondoka leo coz naona mpaka wana kibegi wamebeba.
Sitaki kumuuliza wife hizi mambo za ndugu zake kuja hapa as anajua me sio mtu wa kujali sana mambo hayo ila sasa kama baba wa familia nashangaa kwa nini sihusishwi kwenye ujaji wa hawa wageni as mnavyojua sahivi hali ya maisha imekua ngumu kidogo na watu tunapambania tu familia zetu ziende chooni, sasa huu ugeni mwingine ambao mimi nakua sina taarifa nao naona ka unaenda kinyume na bajeti zangu za mwezi.
Mimi binafsi ndugu zangu huwa wanatoa taarifa siku 3 nyuma kabla hawajaja kwangu hivyo tunajiandaa mapema.
So wakuu hii kitu imekaa kitaalamu kweli na nitumie mbinu gani kufikisha ujumbe kwa wife bila kumkwaza?
hao wa kike wanalika? kama ndio, anza kula mmoja mmoja.
 
sikufundishi uchoyo ila ulifanya makosa makubwa siku ya kwanza kukuta wageni na hujapewa taarifa pale pale ungeweka mambo sawa leo usingekuja kutulalamikia hapa...... na ukiona jambo dogo hivyo halipobsawa basi jua umeshakwama muda mrefu sana.....
 
Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then narudi kituo changu cha kazi.
So ktk ujaji wangu home me huwa sitoi taarifa kwa yeyote huwa nawashtukiza tu ghafla ghafla..
Kama mara tano hivi kila nikija home nakuta ndugu za wife tofauti tofauti wapo home hapa,me sikua naona shida sana as me hawanibani kwa lolote,last month nilikuja nikamkuta mdogo wa wife na mwanae wako hapo home na toka nifike mpaka wanaondoka tulikaa nao karibu siku 8 sikutaka kuuliza wamekuja lini.
So jana tena nimekuja kimya kimya home nimemkuta ndugu mwingine wa kike wa wife wamefunga chuo yupo home hapa sijahoji lolote.
So leo nikiwa ndani na laptop yangu namalizia vimeo vyangu vya job mara ghafla nasikia geti linagongwa kaingia wifi wa wife yani mke wa kaka yake na mwanae na ninavyoona hawa sio wa kuondoka leo coz naona mpaka wana kibegi wamebeba.
Sitaki kumuuliza wife hizi mambo za ndugu zake kuja hapa as anajua me sio mtu wa kujali sana mambo hayo ila sasa kama baba wa familia nashangaa kwa nini sihusishwi kwenye ujaji wa hawa wageni as mnavyojua sahivi hali ya maisha imekua ngumu kidogo na watu tunapambania tu familia zetu ziende chooni, sasa huu ugeni mwingine ambao mimi nakua sina taarifa nao naona ka unaenda kinyume na bajeti zangu za mwezi.
Mimi binafsi ndugu zangu huwa wanatoa taarifa siku 3 nyuma kabla hawajaja kwangu hivyo tunajiandaa mapema.
So wakuu hii kitu imekaa kitaalamu kweli na nitumie mbinu gani kufikisha ujumbe kwa wife bila kumkwaza?
Siku nyingine watakuja kulala chumbani kwako utabaki huna la kufanya 😂😂😂😂

Take care mkuu 😕😕
 
Back
Top Bottom