G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Hatusemi mengi.
Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau
Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala.
Serikali bado inasema eti ni video feki!