Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Natamani niwe km ww....umewezaje huu mtego!
Nimemkopa ndugu mwaka Jana mwezi wa 6 laki 5.Katika maisha tunategemeana, na watu wenye moyo kama wako kuambiwa wachawi ni kawaida sana.
Nimemkopa ndugu mwaka Jana mwezi wa 6 laki 5.Ukiwatenga ndugu nawe unatengwa vilevile
Kwanza Sipendi kukaa karibu na ndugu yeyote bora nikaishi hata simiyu ndani ndani huko kuliko kuishi karibu na ndugu uchwara
Sent using IPhone X
Usiombe Sasa ukute mzazi mmoja Au Wote awe anam-support, Noma SanaTena wabaya sana
[emoji1][emoji1][emoji1]eti Simiyu ndani ndani hukoKwanza Sipendi kukaa karibu na ndugu yeyote bora nikaishi hata simiyu ndani ndani huko kuliko kuishi karibu na ndugu uchwara
Sent using IPhone X
Ushaliwa iyo mkuuNimemkopa ndugu mwaka Jana mwezi wa 6 laki 5.
Alisema anakopa ili akasafishe njia apate dili, akipata atanilipa.
Sasa ni mwezi wa 5 kila siku story.
Na dili kashapata tena kaajiriwa kabisaa..
HUYU NAE NI WAKUTEGEMEANA?
#YNWA
Wrote from Anfield..!!!
Yani unamlipiza unasubili ajisahau unatafuta tatizo ata lakupanga unamuotea unamwazima pesa zaidi alafu aisome namba
Tutaanza juma lijalo andaa ADA kabisa.Teacher Lile somo vipi Sasa
I'm on that good kush and alcohol
Nime-RelaxMnahangaika kweli na maisha. Relax!!!
Kwani una pesa ngapi wewe mbona unababaika sana?
Vijipesa hivyo vya dafu unalia liaaa!!!
Kama una uwezo wa kuwasaidia watu wasaidie!
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaaam.
Usimwamini ndugu yako kwenye kuweka akiba. Maisha ni kuishi na ili uishi vizuri unatakiwa utimiziwe maitaji au ujitimizie mwenyewe.
Kuweka akiba ya pesa na thamani ni moja katika jitihada ya kutaka kujitimizia maitaji yako hapo badae. Katika watu wanaorudisha nyuma kufikia malengo ni ndugu,jamaa na marafiki wakishajua umejiwekea kiasi fulani iwe bank au nyumbani watakuja kukukopa tu wakijua uwezi wanyima wanalalamika na shida zao mbalimbali,ukilazimika kuwasaidia toa pesa ambayo haitakuithiri na kulalamika kwa namna yoyote.
Usimpatie ndugu kiasi chochote kwa kumwamini atakutunzia kwakuwa wewe huwezi unahofia utatumia hakika na yeye pia ataitumia akiwa na matatizo yake. Hakikisha iwe siri yako usimwambie mtu yoyote zaidi ya 1 au 2 tu unaowaanini angalau 85% na iwe kwa ajili kama itatokea dharura yakupoteza maisha au kuugua.
Ndugu ni adui hai kwenye uchumi wako ishi nao kwa makini watakuyumbisha,ni ngumu kumdai ndugu yako wakaribu kiasi chapesa kwanguvu zote utaona aibu tu na utaonekana hauna utu ata kidogo. Tuwe makini na ndugu zetu katika kukuza vipato vyetu.
Tujitaidi kunawa mikono kwa maji safi na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa.
Nilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.
Yani ndugu yangu toka nitoke analia njaa hana ftari,ana shida ya pesa akatimize mahitaji flani alafu nimnyime kisa nina malengo ya kuweka akiba nianzishe biashara fulani ?
Huo utakuwa ni uchizi kwangu na sio tabia njema.
Moja ya malengo ni kuhakikisha kuwa ndugu yangu wa damu hapati shida ilhali mimi nipo na uwezo ninao wa kumpa.
Mkuu haya maisha ni mafupi,hakikisha unawasaidia ndugu zako katika mambo yao ya msingi sio yale ya anasa.
Uchumi gani huo ambao utakuwa nao alafu ndugu zako wako hohehahe,hauna faida kabisa huo.
Usiendekeze ndugu hata siku moja, tena ukianguka ndo wa kwanza kukucheka na kukutangaza umefulia..