Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Katika maisha tunategemeana, na watu wenye moyo kama wako kuambiwa wachawi ni kawaida sana.
Nimemkopa ndugu mwaka Jana mwezi wa 6 laki 5.
Alisema anakopa ili akasafishe njia apate dili, akipata atanilipa.
Sasa ni mwezi wa 5 kila siku story.
Na dili kashapata tena kaajiriwa kabisaa..

HUYU NAE NI WAKUTEGEMEANA?

#YNWA

Wrote from Anfield..!!!
 
Ukiwatenga ndugu nawe unatengwa vilevile
Nimemkopa ndugu mwaka Jana mwezi wa 6 laki 5.
Alisema anakopa ili akasafishe njia apate dili, akipata atanilipa.
Sasa ni mwezi wa 5 kila siku story.
Na dili kashapata tena kaajiriwa kabisaa..

HUYU NAE AKINITENGA NILALAMIKE?

#YNWA

Wrote from Anfield..!!!
 
Nimemkopa ndugu mwaka Jana mwezi wa 6 laki 5.
Alisema anakopa ili akasafishe njia apate dili, akipata atanilipa.
Sasa ni mwezi wa 5 kila siku story.
Na dili kashapata tena kaajiriwa kabisaa..

HUYU NAE NI WAKUTEGEMEANA?

#YNWA

Wrote from Anfield..!!!
Ushaliwa iyo mkuu
 
Usiombe Sasa ukute mzazi mmoja Au Wote awe anam-support, Noma Sana

I'm on that good kush and alcohol
Yani unamlipiza unasubili ajisahau unatafuta tatizo ata lakupanga unamuotea unamwazima pesa zaidi alafu aisome namba
 
Salaaam.

Usimwamini ndugu yako kwenye kuweka akiba. Maisha ni kuishi na ili uishi vizuri unatakiwa utimiziwe maitaji au ujitimizie mwenyewe.

Kuweka akiba ya pesa na thamani ni moja katika jitihada ya kutaka kujitimizia maitaji yako hapo badae. Katika watu wanaorudisha nyuma kufikia malengo ni ndugu,jamaa na marafiki wakishajua umejiwekea kiasi fulani iwe bank au nyumbani watakuja kukukopa tu wakijua uwezi wanyima wanalalamika na shida zao mbalimbali,ukilazimika kuwasaidia toa pesa ambayo haitakuithiri na kulalamika kwa namna yoyote.

Usimpatie ndugu kiasi chochote kwa kumwamini atakutunzia kwakuwa wewe huwezi unahofia utatumia hakika na yeye pia ataitumia akiwa na matatizo yake. Hakikisha iwe siri yako usimwambie mtu yoyote zaidi ya 1 au 2 tu unaowaanini angalau 85% na iwe kwa ajili kama itatokea dharura yakupoteza maisha au kuugua.

Ndugu ni adui hai kwenye uchumi wako ishi nao kwa makini watakuyumbisha,ni ngumu kumdai ndugu yako wakaribu kiasi chapesa kwanguvu zote utaona aibu tu na utaonekana hauna utu ata kidogo. Tuwe makini na ndugu zetu katika kukuza vipato vyetu.

Tujitaidi kunawa mikono kwa maji safi na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa.

Yani ndugu yangu toka nitoke analia njaa hana ftari,ana shida ya pesa akatimize mahitaji flani alafu nimnyime kisa nina malengo ya kuweka akiba nianzishe biashara fulani ?

Huo utakuwa ni uchizi kwangu na sio tabia njema.

Moja ya malengo ni kuhakikisha kuwa ndugu yangu wa damu hapati shida ilhali mimi nipo na uwezo ninao wa kumpa.

Mkuu haya maisha ni mafupi,hakikisha unawasaidia ndugu zako katika mambo yao ya msingi sio yale ya anasa.

Uchumi gani huo ambao utakuwa nao alafu ndugu zako wako hohehahe,hauna faida kabisa huo.
 
Nilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.

Poleni sana aiseee.

Mimi dada yangu kabla ya kuoa nilikuwa nampa pesa yangu ya upatu aniwekee maana nikikaa nazo mara ntanunua vitu nisivyokuwa na bajeti navyo.

Nakumbuka akaniwekea pesa zangu zaidi ya milioni tigopesa baada ya mda nikazihitaji nikaenda kutafutia ardhi na kutolea mahari.

Alinitunzia ile pesa na yeye sio tajiri siku ingine ya kula inampiga chenga,ila hakunidhulumu hata mia moja.

Ndio maana nasema haya mambo hayana formula pengine ndugu yako akakuliza na mwingine akakusaidia.

Muhimu mtu aangalie hali ya ndugu,kama anatunza amana basi sio mbaya na kama hatunzi usimpe

Hata mke na mume mtu aangalie kama anatunza ampe kama hatunzi amana asimpe
 
Yani ndugu yangu toka nitoke analia njaa hana ftari,ana shida ya pesa akatimize mahitaji flani alafu nimnyime kisa nina malengo ya kuweka akiba nianzishe biashara fulani ?

Huo utakuwa ni uchizi kwangu na sio tabia njema.

Moja ya malengo ni kuhakikisha kuwa ndugu yangu wa damu hapati shida ilhali mimi nipo na uwezo ninao wa kumpa.

Mkuu haya maisha ni mafupi,hakikisha unawasaidia ndugu zako katika mambo yao ya msingi sio yale ya anasa.

Uchumi gani huo ambao utakuwa nao alafu ndugu zako wako hohehahe,hauna faida kabisa huo.

"Mkuu haya maisha ni mafupi" mwisho wa kunukuu
 
Usiendekeze ndugu hata siku moja, tena ukianguka ndo wa kwanza kukucheka na kukutangaza umefulia..

Mkuu unakosea.

Ndugu ndo watakuzika.

Labda sema ndugu wasiojali,wenye majungu na fitina wafujaji.

Wapo ndugu wazuri wana roho za huruma na kusaidiana,hawa lazima UWAENDEKEZE TU.
 
Back
Top Bottom