Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Mkuu mbona Kama unanisema hivi nimemkopa ndugu yangu laki tano duu! Nimedai naambiwa mi Sina utu!! Na familiar nzima imenigeuka Bora kuishi kivyakovyako!! Yaani ninahasira hela ya mtaji ndo hiyooo! Siipati Tena nimeamua kuanza na hi iliyopo! Mbaya zaidi mke ananibana hela iko wapi sikumshirikisha. Naiona dunia chungu Sana
 
pole sana mueleze mkeo kuwa mpole na iwe funzo siku ingine mshilikishe na ukiweza samehe deni itakuwa umejijenga ndugu ni bora umpatie pesa usimdai
 
Siku zote, maisha ukimsaidia ndugu, jamaaa na rafiki. Akitusua hatokukumbuka fadhila zako hata kidogo. Na mara nyingi ukimsaidia mtu akitoka wewe uliesaidia lazima maisha yashuke kwa sababu ulitumia pesa yako katika msaaada badala ya kuwekeza, naongea haya kwa sababu yamenikuta mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana mueleze mkeo kuwa mpole na iwe funzo siku ingine mshilikishe na ukiweza samehe deni itakuwa umejijenga ndugu ni bora umpatie pesa usimdai
Inauma ujue yaani nateseka na mke wangu kutwa ANAKUJA mtu kimzaha 0.5m inaondoka natamani kuchinja ila dini Ni Kinga ya dhambi. Wakati naanza walinidhihaki baadae mdogomdogo wakaanza kujaribia kumbe aduu hatoki mbali aisee
 
Naomba mfano wa ivyo vitu vichungu nianze kula
Sanasana kunywa kahawa mchana wa jua kali,halaf dondoshea matone mawil kwenye kikombe.piga vitatu fasta.make sure hujala tangu asubuh,hasira utakayoisababisha hapo hutataka shobo na mtu yeyote (hata mwanao wallah)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mna fikra za kimasikini sana yaani wewe unakula na kusaza mwenyezi mungu kakubariki na una ndugu yako hata pesa ya kula inampiga chenga au ana mtoto wake kafaulu anaomba ada unamnyima eti kisa unautafuta utajiri duuh inashangaza sana alafu hii tabia wanayo wabongo tu ukicheki ndugu zetu wahindi wanapendana balaa yaani akifanikiwa mmoja atapambana watajazana ndugu wote watafanikiwa wataishi wote kwa upendo, mmoja akikosa pesa ata ya biashara wananchangia mpaka asimame na hawa ndo wenye hela mingi na biashara nyingi bongo ila wabongo unakuta mtu kapata channel na uwezo wa kusaidia ndugu zake anao ila ndo kama mtoa mada anawapotezea kwa kisingizio cha kutafta utajiri sasa una haja gani ya kuwaita hata ndugu kama kwenye shida huwashiki mkono. UNAFIKI MTUPU. alafu utakuta nyie ndo mmesomeshwa na kijijinau ndugu mkitoboa mnaleta majivuno na dharau. Cha msingi saidia ndugu kwa uwezo wako kamwe usitoe msaada zaidi ya uwezo pili saidia yale ya msingi tu tatu na lameisho there is no happinesskujua una pesa nyingi alafu ndugu zako waliokulea na kukuwa na wewe wanataabika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanasana kunywa kahawa mchana wa jua kali,halaf dondoshea matone mawil kwenye kikombe.piga vitatu fasta.make sure hujala tangu asubuh,hasira utakayoisababisha hapo hutataka shobo na mtu yeyote (hata mwanao wallah)

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.
Aisee pole sana my dear. Hii tabia niliiona kwa wazazi pia toka tukiwa ng'a.aah! Ukimpa hela mama akushikie huwezi kumdai atakushushua tu🀣🀣🀣!

Sembuse ndugu yako anaekufatia au mkubwa kwako. Uli risk sana siku ingine hamna kumpa hela yeyote huyo.
 
wazazi mungu anawaona haaaa... Wanapenda kula ela za watoto kilazimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bora unikopeshe mimi babe wangu tutalipana [emoji12][emoji12] ama veep

mama wawili
 
Ukauzu ukauzu tu.siwezi kupata pesa yangu kwa kiminyano kutwa nzima halafu aje mwenye kipochi manyoya aikware kindezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…