safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Hujajibu swali hata nini.Sio kila ndugu atakuinua
Kwani kila ndugu ndo atakushusha ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali hata nini.Sio kila ndugu atakuinua
pole sana mueleze mkeo kuwa mpole na iwe funzo siku ingine mshilikishe na ukiweza samehe deni itakuwa umejijenga ndugu ni bora umpatie pesa usimdaiMkuu mbona Kama unanisema hivi nimemkopa ndugu yangu laki tano duu! Nimedai naambiwa mi Sina utu!! Na familiar nzima imenigeuka Bora kuishi kivyakovyako!! Yaani ninahasira hela ya mtaji ndo hiyooo! Siipati Tena nimeamua kuanza na hi iliyopo! Mbaya zaidi mke ananibana hela iko wapi sikumshirikisha. Naiona dunia chungu Sana
Siku zote, maisha ukimsaidia ndugu, jamaaa na rafiki. Akitusua hatokukumbuka fadhila zako hata kidogo. Na mara nyingi ukimsaidia mtu akitoka wewe uliesaidia lazima maisha yashuke kwa sababu ulitumia pesa yako katika msaaada badala ya kuwekeza, naongea haya kwa sababu yamenikuta mimiSalaaam.
Usimwamini ndugu yako kwenye kuweka akiba. Maisha ni kuishi na ili uishi vizuri unatakiwa utimiziwe maitaji au ujitimizie mwenyewe.
Kuweka akiba ya pesa na thamani ni moja katika jitihada ya kutaka kujitimizia maitaji yako hapo badae. Katika watu wanaorudisha nyuma kufikia malengo ni ndugu,jamaa na marafiki wakishajua umejiwekea kiasi fulani iwe bank au nyumbani watakuja kukukopa tu wakijua uwezi wanyima wanalalamika na shida zao mbalimbali,ukilazimika kuwasaidia toa pesa ambayo haitakuithiri na kulalamika kwa namna yoyote.
Usimpatie ndugu kiasi chochote kwa kumwamini atakutunzia kwakuwa wewe huwezi unahofia utatumia hakika na yeye pia ataitumia akiwa na matatizo yake. Hakikisha iwe siri yako usimwambie mtu yoyote zaidi ya 1 au 2 tu unaowaanini angalau 85% na iwe kwa ajili kama itatokea dharura yakupoteza maisha au kuugua.
Ndugu ni adui hai kwenye uchumi wako ishi nao kwa makini watakuyumbisha,ni ngumu kumdai ndugu yako wakaribu kiasi chapesa kwanguvu zote utaona aibu tu na utaonekana hauna utu ata kidogo. Tuwe makini na ndugu zetu katika kukuza vipato vyetu.
Tujitaidi kunawa mikono kwa maji safi na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa.
Inauma ujue yaani nateseka na mke wangu kutwa ANAKUJA mtu kimzaha 0.5m inaondoka natamani kuchinja ila dini Ni Kinga ya dhambi. Wakati naanza walinidhihaki baadae mdogomdogo wakaanza kujaribia kumbe aduu hatoki mbali aiseepole sana mueleze mkeo kuwa mpole na iwe funzo siku ingine mshilikishe na ukiweza samehe deni itakuwa umejijenga ndugu ni bora umpatie pesa usimdai
Sanasana kunywa kahawa mchana wa jua kali,halaf dondoshea matone mawil kwenye kikombe.piga vitatu fasta.make sure hujala tangu asubuh,hasira utakayoisababisha hapo hutataka shobo na mtu yeyote (hata mwanao wallah)Naomba mfano wa ivyo vitu vichungu nianze kula
Kama ni tumbo moja halafu unaweza songa bila hiyo pesa,msamehe.Mpendwa hii mada kama umeniandikia ila nguvu yangu haipotei bure.
haha😅😅😄😄😄😄hiyo ada nimeshaipangia bajeti usikimbie mwanafunzi maisha magumu.
Nimekuelewa mkuuKama ni tumbo moja halafu unaweza songa bila hiyo pesa,msamehe.
😂😂😂Sanasana kunywa kahawa mchana wa jua kali,halaf dondoshea matone mawil kwenye kikombe.piga vitatu fasta.make sure hujala tangu asubuh,hasira utakayoisababisha hapo hutataka shobo na mtu yeyote (hata mwanao wallah)
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadavua kidogo, uko upande gani? Mtoaji au Muombaji?Mpendwa hii mada kama umeniandikia ila nguvu yangu haipotei bure.
Aisee pole sana my dear. Hii tabia niliiona kwa wazazi pia toka tukiwa ng'a.aah! Ukimpa hela mama akushikie huwezi kumdai atakushushua tu🤣🤣🤣!Nilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.
wazazi mungu anawaona haaaa... Wanapenda kula ela za watoto kilazima😂😂😂😂Aisee pole sana my dear. Hii tabia niliiona kwa wazazi pia toka tukiwa ng'a.aah! Ukimpa hela mama akushikie huwezi kumdai atakushushua tu🤣🤣🤣!
Sembuse ndugu yako anaekufatia au mkubwa kwako. Uli risk sana siku ingine hamna kumpa hela yeyote huyo.
Bora unikopeshe mimi babe wangu tutalipana [emoji12][emoji12] ama veepNimemkopa ndugu mwaka Jana mwezi wa 6 laki 5.
Alisema anakopa ili akasafishe njia apate dili, akipata atanilipa.
Sasa ni mwezi wa 5 kila siku story.
Na dili kashapata tena kaajiriwa kabisaa..
HUYU NAE NI WAKUTEGEMEANA?
#YNWA
Wrote from Anfield..!!!
Ukauzu ukauzu tu.siwezi kupata pesa yangu kwa kiminyano kutwa nzima halafu aje mwenye kipochi manyoya aikware kindezi.Hahahah kuna kademu jion kamenitext..
Mambooo
Uko poa mkakaa.
Niazime Laki moja hapa.
Nikakajibu ivi
"(Hahahaha nyinyi mkiazimishwa au kukopeshwa Huwa hamrudishi ,Bahati mbaya wewe sio mpenzi wangu niseme naweza kusamehe Ila nikala mzigo.)"
Alafu kuna haka Ka tabia, Unakuta demu mshaachana, yaan ni Ex Ila anataka kukupiga kirungu...( daaahhh tunatiana dhambi nakuonekana wabaya).
Kamenikaushia ...namm nmechukulia poa tu ili mradi sijapoteza !!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba umetisha iyo ndio dawa yao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ukauzu ukauzu tu.siwezi kupata pesa yangu kwa kiminyano kutwa nzima halafu aje mwenye kipochi manyoya aikware kindezi.View attachment 1444492
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba wawili ATANIUA..Bora unikopeshe mimi babe wangu tutalipana [emoji12][emoji12] ama veep
mama wawili