Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Yaani hili ni tatizo kubwa sana jamani yameshanikuta sana haya wakija sasa kuomba na sura ya huruma hujawahi kuiona ila ngoja sasa umpe ukione chamoto.
 
Yaani hili ni tatizo kubwa sana jamani yameshanikuta sana haya wakija sasa kuomba na sura ya huruma hujawahi kuiona ila ngoja sasa umpe ukione chamoto.
Ni bora umpatie kama unayo lakini usimkopeshe utaimba aleluya chooni maana izo stress zake
 
Yani unamlipiza unasubili ajisahau unatafuta tatizo ata lakupanga unamuotea unamwazima pesa zaidi alafu aisome namba
Hao wapo vizuri sana katika kutokutoa pesa hhahhaha yani kwanza ni wagumu mno sijawahi kuona sijui kuna watu wameubwaje nashindwa kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…