amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Wewe ndo baba wawili wangu.Baba wawili ATANIUA..
#YNWA
Wrote from Anfield..!!!
Mbona unanikana?
mama wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo baba wawili wangu.Baba wawili ATANIUA..
#YNWA
Wrote from Anfield..!!!
Yaani hili ni tatizo kubwa sana jamani yameshanikuta sana haya wakija sasa kuomba na sura ya huruma hujawahi kuiona ila ngoja sasa umpe ukione chamoto.Salaaam.
Usimwamini ndugu yako kwenye kuweka akiba. Maisha ni kuishi na ili uishi vizuri unatakiwa utimiziwe maitaji au ujitimizie mwenyewe.
Kuweka akiba ya pesa na thamani ni moja katika jitihada ya kutaka kujitimizia maitaji yako hapo badae. Katika watu wanaorudisha nyuma kufikia malengo ni ndugu,jamaa na marafiki wakishajua umejiwekea kiasi fulani iwe bank au nyumbani watakuja kukukopa tu wakijua uwezi wanyima wanalalamika na shida zao mbalimbali,ukilazimika kuwasaidia toa pesa ambayo haitakuithiri na kulalamika kwa namna yoyote.
Usimpatie ndugu kiasi chochote kwa kumwamini atakutunzia kwakuwa wewe huwezi unahofia utatumia hakika na yeye pia ataitumia akiwa na matatizo yake. Hakikisha iwe siri yako usimwambie mtu yoyote zaidi ya 1 au 2 tu unaowaanini angalau 85% na iwe kwa ajili kama itatokea dharura yakupoteza maisha au kuugua.
Ndugu ni adui hai kwenye uchumi wako ishi nao kwa makini watakuyumbisha,ni ngumu kumdai ndugu yako wakaribu kiasi chapesa kwanguvu zote utaona aibu tu na utaonekana hauna utu ata kidogo. Tuwe makini na ndugu zetu katika kukuza vipato vyetu.
Tujitaidi kunawa mikono kwa maji safi na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa.
Inakera sana.Najua hawezi kunilipa mkuu na hata akinilipa si yote kama nilivyomkabidhi
Ni bora umpatie kama unayo lakini usimkopeshe utaimba aleluya chooni maana izo stress zakeYaani hili ni tatizo kubwa sana jamani yameshanikuta sana haya wakija sasa kuomba na sura ya huruma hujawahi kuiona ila ngoja sasa umpe ukione chamoto.
Hao wapo vizuri sana katika kutokutoa pesa hhahhaha yani kwanza ni wagumu mno sijawahi kuona sijui kuna watu wameubwaje nashindwa kuelewa.Yani unamlipiza unasubili ajisahau unatafuta tatizo ata lakupanga unamuotea unamwazima pesa zaidi alafu aisome namba
Ukauzu ukauzu tu.siwezi kupata pesa yangu kwa kiminyano kutwa nzima halafu aje mwenye kipochi manyoya aikware kindezi.View attachment 1444492
Sent using Jamii Forums mobile app
Jua kutofautisha wingi na umoja.Huo mwandiko wenu duuh!
Sent using Samsung A50
Siku hana na awe na mke asubilie lawama tena nyingi kwa mkeweUsiwazoeshe kuwapa kila wanapoitaji wakati usihofie wambie sina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakufundisha adabuHuyu ndugu yangu alikuwa muanifu nimewahi kuweka pesa kwake mara tatu ila safari hii kanifundisha
Aisee acha tu mkuu na kipindi hiki cha Corona.
Jua kutofautisha wingi na umoja.
Wenu = wingi
Wako/Wake = umoja
Kwakua umesema wenu,ebu nionyeshe tatizo lilipo kwenye mwandiko wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huhitaji miwani kuona kati ya hizo chat nani amechat hovyo na nani amekosea kibinadamu/typing error.Nenda kaangalie vizuri mkuu. Kuna mahali umetoa boko....
Sent using Samsung A50
Kuna dada alikufa hivi hivi katunza pesa kwa kaka yake siku kazi imeisha kwenda kuchukua hakuna hata mia alikufa kwamshituko kaacha watoto 2Aisee acha tu mkuu na kipindi hiki cha Corona.
Mimi siku mbili nalia machungu ya pesa yangu presha ilishuka ilibidi nikubali matokea.Kuna dada alikufa hivi hivi katunza pesa kwa kaka yake siku kazi imeisha kwenda kuchukua hakuna hata mia alikufa kwamshituko kaacha watoto 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, bora uweke bank wawe wanakata chao kila mwezi utakazo kuta hizo hizo si kumpa mtu tena ndugu hapana, sahizi kuna bank hazina makato ya mwezi weka huko!Mimi siku mbili nalia machungu ya pesa yangu presha ilishuka ilibidi nikubali matokea.
Ahaaaaaaa mzee ulikuwa una date na beki tatu kutoka nanjilinji!!!Ukauzu ukauzu tu.siwezi kupata pesa yangu kwa kiminyano kutwa nzima halafu aje mwenye kipochi manyoya aikware kindezi.View attachment 1444492
Sent using Jamii Forums mobile app
Nanjilinji kwa walima ufuta 😂😂😂Ahaaaaaaa mzee ulikuwa una date na beki tatu kutoka nanjilinji!!!
Sent using Jamii Forums mobile app