Ndugu wanataka tuuze nyumba yenye Hati ya jina langu baada ya mzee kufariki

Ndugu wanataka tuuze nyumba yenye Hati ya jina langu baada ya mzee kufariki

Sikia jitambue hiyo nyumba mzee wako hakuwa mjinga kuandika jina lako usikute aliona wewe ndio mwanae wa halali hao wengine mama yako alimpiga kwa michepuko ndio maana sasa fanya hivi komaaa hiyo nyumba isiuzwe na kama wanataka kuuza ziuzwe zote nne
 
Kwa mila na desturi za kichaga nyumba ile ya makazi walikokuwa wanaishi wazazi na mjane amebaki hao, automatically hubaki kwa mtoto wa mwisho wa kiume na mama yake na dada zake kama hawajaolewa ni ruksa kuwa na chumba pale.

Hii nyumba haiwezi kuuzwa. Kwa kesi ya mwenzetu kama nyumba inayozungumziwa ni nje na nyuma ya makazi ya familia, hao ndugu wana hoja.
 
Polen kwa msiba,,

babayako alikuwa ana akili sana na ndio maana akakuandisha hiyo nyumba maana wewe ndo mtoto wa mwisho usiuze hiyo nyumba Bali kaa nayo umtunze mama yako katika hiyo nyumba na ikiwezekana hati peleka mahakaman wakutunzie maana watatafuta njia yakukuangusha, jiulize.

Baba alikuwa na nyumba nne na anajua mpo nane lakini hiyo moja kaiandikisha kwa jina lako kwasababu ww ni last born na ndio utakua wa mwisho kuanza maisha yako na kuondoka hapo home so we waambie ndugu zako kuwa hiyo nyumba ni ya kupumzikia mama sasa mkitaka kuziuza mama yenu aliyewazaa mtamtupia wapi inaonekana ulikuwa unampenda sana mama na babayako aliliona hilo ndo maana kakuachia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikia jitambue hiyo nyumba mzee wako hakuwa mjinga kuandika jina lako usikute aliona wewe ndio mwanae wa halali hao wengine mama yako alimpiga kwa michepuko ndio maana sasa fanya hivi komaaa hiyo nyumba isiuzwe na kama wanataka kuuza ziuzwe zote nne
naona Mambo Yanazidi kuwa makubwa.

nikikomaa Mambo yatakuwa meeeengi Sana,

nikipotezea nakuwa nimejidhurumu mwenyewe na nitaumizwa na hii hali vibaya mno,

aisee haya Mambo sikutegemea kukumbana nayo kwenye maisha yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
polen kwa msiba,,

babayako alikuwa ana akili sana na ndio maana akakuandisha hiyo nyumba maana wewe ndo mtoto wa mwisho usiuze hiyo nyumba Bali kaa nayo umtunze mama yako katika hiyo nyumba na ikiwezekana hati peleka mahakaman wakutunzie maana watatafuta njia yakukuangusha , jiulize baba alikuwa na nyumba nne na anajua mpo nane lakini hiyo moja kaiandikisha kwa jina lako kwasababu ww ni last born na ndio utakua wa mwisho kuanza maisha yako na kuondoka hapo home so we waambie ndugu zako kuwa hiyo nyumba ni ya kupumzikia mama sasa mkitaka kuziuza mama yenu aliyewazaa mtamtupia wapi inaonekana ulikuwa unampenda sana mama na babayako aliliona hilo ndo maana kakuachia

Sent using Jamii Forums mobile app
asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiuze kitu... Tamaduni za makabila mengi huwa mtoto wa mwisho, hasa wa kiume huachiwa nyumba atunze mji.

Waambie hawana chao wewe ulishapewa mali na marehemu.. Wao wapambane na hali zao.
 
Iyo nyumba ni yako .wewe ndo una mamlaka nayo nazani ka wivu tu kameingia kwa ao ndugu zako

sijui itakuaje
 
Hiyo nyumba niyakwako kiuhalisia nawala mzee wako hakujifurahisha nawala hakuwa anafanya maigizo kuandika hati moja majina yako. Hizo nyumba nyingine ndio zakwao wao namama yao namama yenu kwakuwa bado yupo hai basi ndio mwenye hizo nyumba tatu nanyinyi tafuteni vyenu nawake zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaonea huruma.
Soon mtaanza kuishi kama mashetani.
Waambie wauze ila wewe hauta husika na fedha wagawane.
Huo ndio mtego wao.
Hao si kwamba wanashida na hiyo fedha bali wanahisi nyumba utajimilikisha jumla kama nyaraka zinavyosoma
 
Mama si wanamtunza ,yeye anataka mali ya kupeleka wapi .. kama ana watoto nane na huyu wa mwsho nae keshaanza maisha yake that means watoto wakubwa wana miaka karibu au Zaid ya 40, mama n mzee tayari , nyumba ya nini ? yule wanatakiwa wamtunze

Sent using Jamii Forums mobile app
Watamtunzia Sasa wapi? Au ndio mwanzo wakumtafutia kifo chamapema nawakamwana wake.

Roho isio natamaa ilitakiwa utaratibu ule ule aliokuwa nao baba yao nao waufuate huohuo kama mzee alikuwa kapangisha baadhi yanyumba nakodi ikawa inamsaidia yeye namke wake basi hiyo hiyo kodi aendelee kupokea mjane wake naimsaidie kwenye mahitaji yake mpaka pale Mungu atakapomuhitaji ndio wawaze hayo wanayotaka kuyafanya sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watamtunzia Sasa wapi? Au ndio mwanzo wakumtafutia kifo chamapema nawakamwana wake.

Roho isio natamaa ilitakiwa utaratibu ule ule aliokuwa nao baba yao nao waufuate huohuo kama mzee alikuwa kapangisha baadhi yanyumba nakodi ikawa inamsaidia yeye namke wake basi hiyo hiyo kodi aendelee kupokea mjane wake naimsaidie kwenye mahitaji yake mpaka pale Mungu atakapomuhitaji ndio wawaze hayo wanayotaka kuyafanya sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa bana, yani mama akae na hao watoto 8 Kwenye nyumba moja, wewe leo unauliza watoto 8 watamtunzia wapi mama mmoja wakati nyumba zipo 4, na kuna wengine wanamalizoa ujenzi kwa maelezo ya dogo, zinaweza kua hata zaid ya nyumba 7, zooote hizo mkose pa kumtunzia mama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom