The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
lakini swali la kujiuliza kwa Nini wapate mawazo ya kuuza hii yenye jina langu?.
nyingine hawazioni?
hakuna Nia ovu kweli hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
duhKisheria hawana haki hata chembe, gangamara ili kuhakikisha nyumba haiuzwi. Ujiandae kurogwa au hata kuwekewa sumu.
naona Mambo Yanazidi kuwa makubwa.Sikia jitambue hiyo nyumba mzee wako hakuwa mjinga kuandika jina lako usikute aliona wewe ndio mwanae wa halali hao wengine mama yako alimpiga kwa michepuko ndio maana sasa fanya hivi komaaa hiyo nyumba isiuzwe na kama wanataka kuuza ziuzwe zote nne
asantepolen kwa msiba,,
babayako alikuwa ana akili sana na ndio maana akakuandisha hiyo nyumba maana wewe ndo mtoto wa mwisho usiuze hiyo nyumba Bali kaa nayo umtunze mama yako katika hiyo nyumba na ikiwezekana hati peleka mahakaman wakutunzie maana watatafuta njia yakukuangusha , jiulize baba alikuwa na nyumba nne na anajua mpo nane lakini hiyo moja kaiandikisha kwa jina lako kwasababu ww ni last born na ndio utakua wa mwisho kuanza maisha yako na kuondoka hapo home so we waambie ndugu zako kuwa hiyo nyumba ni ya kupumzikia mama sasa mkitaka kuziuza mama yenu aliyewazaa mtamtupia wapi inaonekana ulikuwa unampenda sana mama na babayako aliliona hilo ndo maana kakuachia
Sent using Jamii Forums mobile app
Be bold usifagilie ndugu wangekua wanamapenzi mema wasingeanza na ya kwako.naona Mambo Yanazidi kuwa makubwa.
nikikomaa Mambo yatakuwa meeeengi Sana,...
Komaa waeleze kuwa baba yako alikuapa wewe kama Zawadi kwako. Mengine hujuiAsante Sana Sasa wanaibuka Hawa mabro wanataka iuzwe tugawane hela. mama nae Kama hajui kitu ndo nabaki njiapanda mzima mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namama yao je?Vita ya mali haijawahi kuacha mtu salama, hapo apatikane mzee mwenye busara tu, kwakua nyinyi n ndugu, mko nane nyumba ziko 4, gawaneni wawili wawili, na umiliki mbadilishe
Sent using Jamii Forums mobile app
haya Mambo haya. Ni hatariIyo nyumba ni yako .wewe ndo una mamlaka nayo nazani ka wivu tu kameingia kwa ao ndugu zako
sijui itakuaje
Mama si wanamtunza, yeye anataka mali ya kupeleka wapi .. kama ana watoto nane na huyu wa mwsho nae keshaanza maisha yake that means watoto wakubwa wana miaka karibu au Zaid ya 40, mama n mzee tayari , nyumba ya nini ? yule wanatakiwa wamtunze
Watamtunzia Sasa wapi? Au ndio mwanzo wakumtafutia kifo chamapema nawakamwana wake.Mama si wanamtunza ,yeye anataka mali ya kupeleka wapi .. kama ana watoto nane na huyu wa mwsho nae keshaanza maisha yake that means watoto wakubwa wana miaka karibu au Zaid ya 40, mama n mzee tayari , nyumba ya nini ? yule wanatakiwa wamtunze
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa bana, yani mama akae na hao watoto 8 Kwenye nyumba moja, wewe leo unauliza watoto 8 watamtunzia wapi mama mmoja wakati nyumba zipo 4, na kuna wengine wanamalizoa ujenzi kwa maelezo ya dogo, zinaweza kua hata zaid ya nyumba 7, zooote hizo mkose pa kumtunzia mama?Watamtunzia Sasa wapi? Au ndio mwanzo wakumtafutia kifo chamapema nawakamwana wake.
Roho isio natamaa ilitakiwa utaratibu ule ule aliokuwa nao baba yao nao waufuate huohuo kama mzee alikuwa kapangisha baadhi yanyumba nakodi ikawa inamsaidia yeye namke wake basi hiyo hiyo kodi aendelee kupokea mjane wake naimsaidie kwenye mahitaji yake mpaka pale Mungu atakapomuhitaji ndio wawaze hayo wanayotaka kuyafanya sasa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
CorrectMzee alikuwa mjanja aliiweka hiyo nyumba katika jina lako kwa vile wewe ni wa mwisho ili umtunze mama yenu. Kitinda mimba kazi yake kuishi na kumtunza mama yake Uzeeni. Hiyo ni ya kwako personal usiiuze.