Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Mzazi hayupo nani atatoa jibu? Mama mwenyewe hana jibu subiri apigwe misumari atafungua uzi mwingine humu ndugu zangu wameniroga baada ya kukataa kuuza nyumba yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nashukuru mungu sijawahi kuiwazia nyumba yetu japo mie ndo last borne na kwa mila zetu mtoto wa mwisho ndie mrithi wa mjengo.
Kwa sasa mshua anauboresha mjengo kila uchao nawaza tu zogo lake kati ya first borne brother na mama wa kambo litakuwaje japo sidhani kama ntashiriki kugombania. Nataka nijenge kwangu tu ili ile nyumba niipangishe huko mbeleni.
Wazee mnatamani nife kinyama bora nikache tu huu uzi.🤣🤣🤣
Nimeona una chuki na ndugu yako wa mwisho, sio tu kwa comment hii hata comment ya juu.+1
Mama yao ndio tatizo , mkuu hawa watoto vitinda mimba huwa wanapewaga privileges zisizo na vichwa Wala miguu na huwa wanadharau sana wakubwa zao...
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Dogo ndo umekuja kutusemea huku mabraza zako sasa basi itabid uchsgue uize hio nyumba au tutakupiga kimbola
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee mnatamani nife kinyama bora nikache tu huu uzi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naongea kwa experience ,hiyo chuki unabet tu, infact kitinda mimba wetu tunapatana Sana na mie ,japo alilelewa kimayai sana na ananitegemea sana kwenye mambo yake Kama yakikwama.Nimeona una chuki na ndugu yako wa mwisho, sio tu kwa comment hii hata comment ya juu...
Mzee kampa zawadi ya nyumba mwanae kuna tatizo? Nyumba tatu zipo kwanini ndugu zake watake kuuza hiyo ya mwenzao ili wakamalizie ujenzi wa nyumba zao?Naongea kwa experience ,hiyo chuki unabet tu, infact kitinda mimba wetu tunapatana Sana na mie ,japo alilelewa kimayai Sana na ananitegemea sana kwenye mambo yake Kama yakikwama.
Hebu anagalia scenario ya mtoa mada jinsi mzazi alivyobagua watoto wa kuwazaa mwenyewe ,unadhani alifanya fair?...
Naongea kwa experience ,hiyo chuki unabet tu, infact kitinda mimba wetu tunapatana Sana na mie ,japo alilelewa kimayai Sana na ananitegemea sana kwenye mambo yake Kama yakikwama...
Mkuu unadhani huo uamuzi wa kukuandikisha wewe pekee umiliki nyumba yako ilhali wenzako saba hawajapewa chochote ilikuwa ni sahihi? huoni chuki ilianzia hapo?ila mkuu nadhani kwangu Ni tofauti kidogo. mahusiano ya familia yalikuwa mema Sana labda Kama kulikuwa na kuchukiana kisiri Siri ila Mimi Ni shahidi wa kwanza nawa mwisho tulikuwa tunaishi vizuri na ndugu zangu ambapo mkubwa tulimheshimu na Mimi mdogo walinipa heshima zangu pia...
Kama mzazi hilo la kubagua watoto nimesema halitatokea no matter what , sababu nilipitia hayo, sitaki wanangu wapite njia hiyo,Mzee kampa zawadi ya nyumba mwanae kuna tatizo??
Nyumba tatu zipo kwanini ndugu zake watake kuuza hiyo ya mwenzao ili wakamalizie ujenzi wa nyumba zao?
Mzee wake aliona kabisa kuna chuki baina ya watoto wake wakubwa kwa mtoto wake wa mwisho pia aliona huyo wa mwisho ndie atamlea mke wake incase of anything kiufupi aliyoyatabiri mzee ndio yanatokea hata bado hajaoza tayari wakubwa wanatoa macho mali ya mwenzao...
Nyumba anashinda bila shaka , maana ipo katika jina lake , tatizo ni hao ndugu na undugu wenyewe utakuwa unaisha na migogoro utakuwa next level.
duh hii comeback sio poa.Tena kwa Corona [emoji23][emoji23]
Wakati wewe umeongelea naturally inategemewa mtoto amzike mzazi wake, japo inaweza kuwa opposite
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa mkuu Asante Sana.Mkuu unadhani huo uamuzi wa kukuandikisha wewe pekee umiliki nyumba yako ilhali wenzako saba hawajapewa chochote ilikuwa ni sahihi? huoni chuki ilianzia hapo?
Katika maisha ukiona umepewa nafasi ya kufaidika ilhali wenzako wanaumia jua kuna tatizo, Mzee wenu alikuwa ametega time bomb , Na ilikuwa imetengeneza chuki ya chini kwa chini, alipofariki wakubwa zako wameona ndo wakati wa kurevenge...