Ndugu wengi wenye uwezo mkubwa kipesa hawatakagi mazoea na ndugu wenye uwezo mdogo kiuchumi

Ndugu wengi wenye uwezo mkubwa kipesa hawatakagi mazoea na ndugu wenye uwezo mdogo kiuchumi

....... undugu wa kujariana umepungua, ndg yako wabkukujari ni rafiki yako wa karibu
 
utajiri humpa mtu ubisy ambao humfanya asiishi kimazoea tena, hapa ndo wengi huona mabadiliko kwa watu hawa coz hawawezi ishi kama ulivowazoea na hapa wengi ndo hudhani hawa watu wamewatenga.

hata nawe ukizipata hutoishi kimazoea kama unavoishi sasa, hii ndo tofauti ya maskini na tajiri
Sijui kama wamekuelewa, kichwa kinakuwa na mambo arobain kidogo, then mtu anataka mkae mstorishe weee wakat mwenyewe tu muda haukutoshi
 
Sijui kama wamekuelewa, kichwa kinakuwa na mambo arobain kidogo, then mtu anataka mkae mstorishe weee wakat mwenyewe tu muda haukutoshi
huwezi acha shughulikia mambo ya msingi ukakalia kupga stori eti umfurahishe ndugu/jamaa, mambo ya namna hii wanafanya watu maskini na wasio kazi.
 
Sio Kama hatupendi kuhudumia
Assume nnakupa kila kitu na bado hujielewi nifanyaje
NB.kumpa mwanamke wako Hera Ni Jambo lisilokwepeka Ila Sasa.....
Tafuta anayeelewa na kuappreciate wapo wengiii, tatizo unataka mwenye tako na akili ziwepo, hivyo vitu Ni inversily proportion.
Choose one any enjoy😁
 
Sasa maskini na tajiri mtapiga stori lisaa lizima mnaongea nini?
tajiri anapewa attention na madili ya pesa na wala sio stori, sasa huyu bwana anajiaminisha ujinga kuwadhania watu vibaya kisa hawana mda kupoteza ajili ya stori
 
Kuna jamaa yangu kanipumzikia jana toka saa 8 mchana mpka saa moja jioni, kibaya zaidi kaja bila taharifa ilibaki kidogo nimtimue..
 
Tafuta anayeelewa na kuappreciate wapo wengiii, tatizo unataka mwenye tako na akili ziwepo, hivyo vitu Ni inversily proportion.
Choose one any enjoy[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba yako na akili haviendi pamoja?
 
Nimekua niki-observe hili swala kwa mda mrefu kidogo na kwenye familia nyingi tofauti, utakuta ndugu wenye uwezo mkubwa kipesa wanawatenga ndugu wenzao wasio na pesa kinamna flani, sio kwamba wanawatenga kabisa..hapana..misiba na sherehe za harusi watahudhuria, michango watachangia, ila mazoea na ndugu wengine wenye kipato cha chini hawataki kabisa..mazoea kama ya kupiga story zisizo na kichwa wala miguu kwa lisaa lizima, friendly gossip, kutaniana na kucheka pamoja, kutembeleana cku ambazo si za sikukuu (yani cku za kawaida), kujuliana hali etc

Wakati ndugu wengi wasio na uwezo mkubwa kiuchumi wako more friendly, mtapiga story lisaa lizima, mtacheka na kutaniana, mtatembeleana akija kwako utamkaribisha fresh, atakula msosi na kushiba, ukienda kwake atakukaribisha vizuri. utakula ushibe, tena ndugu asie na uwezo atakuomba ww uende kwake umtembelee...mm kwa mtazamo wangu huu ndo undugu halisi.

Especially ndugu wengi wenye uwezo mkubwa wa kipesa wanaoishi dar ndo wana tabia hizo, ndugu mwenye uwezo mkubwa kipesa hata akikuruhusu umtembelee na akikukaribisha msosi wake unaona hii karibu haitoki rohoni, hii nimei-observe kwenye familia nyingi.
Ndio hawa ambao mjin wanaitwa ma Don??? Alafu wazazi wao wanalala nyumba za Tope.
 
Mtu akiwa na pesa za kutosha kikawaida unabadilika tu haiepukiki kichwa kitakuwa kipo busy na michongo ya kuongeza mkwanja hata vile visafari vya kwenda kwa mjomba sijui nani vinapungua utaanza tu kudeal na watu wa level zako kwa kiasi kikubwa,,,,,,lakin cha muhimu zaidi ni kutosahau ulipotoka msaada kwa watu wako wa karibu lazima uwepo kwan ya mungu mengi unaweza kurud hatua elfu nyuma
 
Tafuta anayeelewa na kuappreciate wapo wengiii, tatizo unataka mwenye tako na akili ziwepo, hivyo vitu Ni inversily proportion.
Choose one any enjoy[emoji16]
@Mama Terry sikuwahi kuvutiwa na vitu ivo
Hata kuingalia ma x wangu wote wawili Ni wakawaida saaana
Ila ndio hivyo
 
Ukisha anza kupata pesa speed ya kutafuta inaongezeka, kwanza unakuwa makini na kile ulichonacho kisishuke ila kiongezeke, na mara nyingi muda unakuwa hautoshi kabisa na story utakazopenda kusikia ni za madili tu,pamoja na kupeana ushauri namna ya kukuza pato,

Sasa wewe umetoka ulikotoka unataka uanze kumpigisha mtu story za uongo na ukweli,
Huo muda unatoka wapi?
Maskini ni watu wa lawama sana

Kumaintain status ni kazi ngumu sana jamani
 
Back
Top Bottom