Ndugu wengi wenye uwezo mkubwa kipesa hawatakagi mazoea na ndugu wenye uwezo mdogo kiuchumi

Kupitia Uzi huu nimejua tofauti ya ndugu maskini mpenda soga na ndugu tajiri mpenda michongo na madili mbali mbali.
 
Kuna kitu kinanikera sana wabongo wengi waliojaliwa vipato wanapenda sana kuabudiwa na kutukuzwa huu ni uzwazwa wa chuo kikuu

Sasa si uachane nao, shida iko wapi? Tatizo la watu msio na hela mnakuwa na shobo sana[emoji3][emoji3]
 
Lazima wawe na hio tabia, ni asili ya kitajiri, masikini Wana mazoea mabaya Sana na anaweza kukutia katika matatizo muda wote akidhani utasolve muda wowote, halafu, masikini Hawana mawazo positive ndo maana basi ni masikini, story zao ni kuwasema majirani na mengineyo ya unafiki, maana Hawana kazi za kuwaweka busy.
Umaskini mbaya Sana
 
Nitaleta mada humu niwafundishe kuhusu madaraja/matabaka/classes katika maisha.

Kuna poor class, working class, middle class, high class.

Mtu yoyote akihama kwa kupanda au kushuka kwenye hayo matabaka tabia hubadilika.

Hata tajiri akifulia huwa tunamuona kama kichaa fulani hivi.

Na maskini akipata hela hivyo hivyo anahama class anajenga urafiki na matajiri wenzie.

MATABAKA HAYAKWEPEKI. FANYA KAZI KWA BIDII NA WEWE UANZE KUTAFUTWA NA NDUGU ZAKO.
Atabadilika tu yule ambaye hayuko kawaida. Utabadilika kama ulikuwa unajiona inferior kabla ya kuwa high class, na utakuwa inferior tena ikitokea ukashuka kutoka high class na kurudi kwenye daraja la chini yake. Watu ambao hawako inferior huwa hawabadililki.
Nitakupa mifano halisi: Mwalimu Nyerere hakuwahi kubadilika, Mwinyi (Mzee Rkhusa) hakubadillika, JK naye pia hakubadilika na vilevile JPM pia naye hajabadlika na wala hatabadilika. Wapo na wengine wengi tu kv Mbunge Sugu, Mbunge Profesa Jay...... list ni ndefu!
Mind you swala la kujisikia nferior au superior, ni la kuchagua na huwa linatokana na udhaifu fulani alionao mtu ndani ya nafsi yake
 
Kunywa bia nitalipa...

Wachoyo wamejificha kwenye kichaka cha 'ubize'
 
Kikubwa ni kupambana na wewe upate mafanikio uone kama unaweza kuwahimili hao ndugu wasiokuwa na uwezo. Watu waliojaa chuki dhidi ya maisha ya wengine, kutwa kucha kujadili maisha ya watu wengine badala ya kufanya kazi.
Sasa wewe unakuja kwangu kufanya nini? Una shida zako tusaidiane hukohuko ulipo sio kuja kuchukua mambo yangu na kwenda kuyasambaza kwingine kwa chuki.
Ukiumwa tukutane hospitali ukikamatwa tukutane polisi kusaidiana nyumbani hakuna msaada.
 
Hapana, hiyo zawadi sichukui, na wala sitashukuru isipokuwa ukinijulia hali tu kwa kuniambia maneno "Bwana Yesu Asifiwe" au "Tumsifu Yesu Kristo" utakuwa umenipa zawadi kubwa muno na ya pekee sana katika maisha yangu yote
 
Kikubwa ni kupambana na wewe upate mafanikio uone kama unaweza kuwahimili hao ndugu wasiokuwa na uwezo. Watu waliojaa chuki dhidi ya maisha ya wengine, kutwa kucha kujadili maisha ya watu wengine badala ya kufanya kazi.
Sasa wewe unakuja kwangu kufanya nini? Una shida zako tusaidiane hukohuko ulipo sio kuja kuchukua mambo yangu na kwenda kuyasambaza kwingine kwa chuki.
Ukiumwa tukutane hospitali ukikamatwa tukutane polisi kusaidiana nyumbani hakuna msaada.
Aah,ila kwako wanatembelea matajiri tu au na matajiri wenzio hawakutembelei?
 
Sasa si uachane nao, shida iko wapi? Tatizo la watu msio na hela mnakuwa na shobo sana[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu mimi sinaga shobo kabisa mungu kanijalia akili, na maarifa napambana nipate vya kwangu na mimi
 
Ndege wafananao huruka pamoja,tambua kundi lako itakusaidia sana,ukiwa kwenye kundi la wenye nazo na wewe ni kapuku hata ukiongea la maana unaonekana hujui tu,kuna jamaa yangu simu ilipotea kwa ndugu zake akachuchumalishwa,likaitwa gari la Polish,ile wanasubiri akarudi mtoto wao kutoka shule kumbe alicheza gemu ikaisha chaji akaenda kuichajia chumbani kwao imezimwa,Hakuombwa hata msamaha ndo kwanza akaambiwa akaoshe gari.
 
Akaosha gari[emoji16]
 
Dah! Its very sad[emoji26]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka kwa sauti eti “akachuchumalishwa “

Jamani kumbe kuna kudhalilika hivyo?!

Lakini dhambi nyie kumshuhudia jirani yako uongo hivyo [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom