Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.

1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce


Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy

5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
 
Kuna ndugu yangu kasomea takwimu yaan ni mtakwimu ila tuko naye tu mtaan hapo ndo ipi kwa hizo kozi ulizotaja hapo juu
Sijaorodhesha zote, zipo nyingi mno takwimu wengi wanaingia kwenye data science Sasa uko Kuna programming na skills mbali mbali.

Shida data science Kwa bongo hapa hawatambuliki majukumu yao. Mwambie akomae na programming language atajiposition vizuri.
 
Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.

1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce


Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy

5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
But , cyber Security is a specialized area within computer science...
 
But , cyber Security is a specialized area within computer science...
Ooh ni kweli lakini computer science au ICT imebeba vitu vingi sana networking, cyber security, programming, data science n.k kiukweli mtu kuwa competent in all aspect ni uongo, naona UDOM na IAA wanasoma cybesecurity pekee.
 
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Je, ni kweli kwamba wote waliosomea kuyaendesha hayo ma-Bulldozer wapo kwenye vitengo na wanakula net salary za over Tsh. 4M kwa mwezi, kwa scale za JAMIIFORUMS SALARY SCALE (JFSS)? 🤔

Sababu wadau wa JF humu karibu wote ni matajiri, humu hata ukiwaambia unalipwa Tsh. 1.7M kwa mwezi bado watakwambia ni ndogo sana, acha kazi.

👇🏽
Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa
 
Je, ni kweli kwamba wote waliosoma kuendesha ma-bulldozer wapo kwenye kitengo na wanakula net salary za over Tsh. 4M kwa mwezi kwa scale za JAMIIFORUMS SALARY SCALE (JFSS)? 🤔

Maana wadau wa JF huku karibu wote ni matajiri, sabb hata ukiwaambia unalipwa 2.5m kwa mwezi bado watakuambia ni ndogo sana, acha kazi.
Haha hapana hatuongelei mshahara mkubwa ila sehemu ya kujishikiza, sidhani kama folk operator Hana mchongo au kazi wengi wanakaa Siku mbili wanapata
 
Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.

1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce


Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy

5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
No 10 uongo akikomaa na code, hesabu na akijiongeza kwenye Data science huyo sio mwenzio. Computer science ni bonge moja la course, kwani anaweza hata kuwa Cybersecurity,akafanya Database,Programmer au Data Scientist nk.
 
Kila kitu kina nafasi yake na michongo yake, sehemu unapopaona wewe hapana fursa au dili, basi hapo hapo kuna watu huwatoi na wanapiga pesa zao hapooo.

Hizo kozi unazozichukulia poa, kuna watu zinawapa maisha, na kuna wengine wapya zinazidi kuwatengenezea maisha.

Halafu sasa, kila mtu akianza kusoma hizo kozi ulizozitaja kuwa "zinalipa" na zenyewe zitashuka soko, it's all about supply and demand.

"E no easy, no easiness",
hakunaga kozi ambayo ni guarantee kwamba ukienda tu tayari unapiga pesa kwa raha mustarehe.
Haya mambo ni ku-gamble tu.
Ni kama kuBet, ukiwin haya, usipowin haya.

Pia hizo unazoziona wewe kama ni rahisi kutusua mtaani kama ukizisoma, nakukumbusha kwamba wapo watu wamezisoma na wanashangaa shangaa tu mtaani, hawaelewi.
 
Back
Top Bottom