Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

Kuna mdogo wetu mwaka jana nilimshauri akasome electrical engineering akakuabali lakini akaja kaka yetu mkubwa akamshari akasome biotechnology hapo DIT akakubali na akapuuza ushauri wangu. Kwa sasa yupo mwaka wa kwanza anasoma biotechnology engineering hapo DIT sasa namsubiri amalize halafu ndo tuongee vizuri.
 
Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.

1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce


Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy

5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Hiyo ya Record Management ni kweli kabisa
 
Inakuja sooner than you think
Mwambie aende insta aka heki technology ya AI inavo kula kazi za watu, wasanii wanatoa nyimbo bila kwenda location mfano sweet ya jux na nandy.

Unaweza chukulia poa ila hapo ajira zilizo kosa hela ni nyingi, kuanzia crew nzima ya shooting, wasafirishaji, watu wa chakula Kwa crew, nk shida tupu
 
Kuna mdogo wetu mwaka jana nilimshauri akasome electrical engineering akakuabali lakini akaja kaka yetu mkubwa akamshari akasome biotechnology hapo DIT akakubali na akapuuza ushauri wangu. Kwa sasa yupo mwaka wa kwanza anasoma biotechnology engineering hapo DIT sasa namsubiri amalize halafu ndo tuongee vizuri.
Labda huyo brooh wenu ana target sehemu ko atamuweka hapo huyo Dogo, ila km not, bas Dogo asubiri kimlambee. Lol
 
Je, ni kweli kwamba wote waliosomea kuyaendesha hayo ma-Bulldozer wapo kwenye vitengo na wanakula net salary za over Tsh. 4M kwa mwezi, kwa scale za JAMIIFORUMS SALARY SCALE (JFSS)? 🤔

Sababu wadau wa JF humu karibu wote ni matajiri, humu hata ukiwaambia unalipwa Tsh. 1.7M kwa mwezi bado watakwambia ni ndogo sana, acha kazi.

👇🏽
Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa
Halafu cha ajabu matajiri wanaolalamika hali ngumu huku wote wakiwa na kipato kikubwa,mahekalu na magari ya kifahari.Na wote wapo JF.
 
Back
Top Bottom