cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ndugu yangu kasomea takwimu yaan ni mtakwimu ila tuko naye tu mtaan hapo ndo ipi kwa hizo kozi ulizotaja hapo juu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ndugu yangu kasomea takwimu yaan ni mtakwimu ila tuko naye tu mtaan hapo ndo ipi kwa hizo kozi ulizotaja hapo juu
[emoji23][emoji23][emoji23]Procurement and supply kama hufik phd jiandae kuvaa reflekta ya bodaboda
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ujue kusoma na kuandika kisha gombea ubunge uone kama kutakuwa na mauzauza.
Sahivi sio Elimu, ni CONNECTIONSi kweli, maisha ni bahati tu, kwa hali ilivyo hata MD wanasugua bench. Nina wenzangu watatu wana degree ya ualimu 2015, now tokea 2023 wapo Dangote kwenye kampuni ya Logistics. Kilichowabeba si walichosoma bali ni kwamba tu, wamesoma.
[emoji23][emoji23][emoji23]Weka cybersecurity kwenye list ya bodaboda, mshikaji karudi home department yote wameachishwa kazi
Haswaaa.Swali ni je wewe binafsi una plan gani ya kuifanya hiyo course iwe na value, au unategemea course yenyewe ndo ikubebe?
VETA wengi wanaidharau bila sababu, lakini huko kuna watu wanapiga hela kimya kimya kuliko hata graduates wengi—mafundi umeme, welding, mechanics… hawa wanakula pesa ya uhakika.
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas.Mdogo wangu kasomea takwimu yupo kitaa tangu 2010 yan 15 years now,post zikitoka huwaga ni position moja tu..Sahiz anasaga zake mashine ya unga ya family hana hata stress hajui hata vyeti vilipo
Ko hujibu text za watu PM, mbona nilitaka nikucheki hadi nimeogopa sasa, LolHakuna tenda, wewe anzisha Metal Workshop, iweke Lathe Machine hapo, watu watakuja wenyewe kukuletea kazi, ndogo, kubwa na za kati.
Badae utaongeza mashine zingine hapo hapo Drills, Milling machines, weldings, hydraulic press nk.
Ni garage tayari hiyo hapo. Mashine kukata chuma kizito (Gesi), Hakuna chuma utashindwa kuchonga, kukikata, kuvunja au kukinyoosha au kukikunja kulingana na mahitaji ya mteja.
Inbox waga sijibu sms za watu; hata hivyo nitakujibu kwa heshima yako.
Nini tofauti kati ya Medical Physics na Biomedical engineering?Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Ko hujibu text za watu PM, mbona nilitaka nikucheki hadi nimeogopa sasa, Lol
Aiseeeh mbona wanitishaa atii?? [emoji23][emoji23][emoji23]coca njoo kwa heshima yako nitakujibu. [emoji16]
Aiseeeh mbona wanitishaa atii?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nweii ngoja nisogee huko piemuni.
Nakujaaa!! [emoji23][emoji23]Njoo coca. [emoji16]
Kutapeli wajingaKwanini watu. Wa forex mnapost magari sana
Nakujaaa!! [emoji23][emoji23]
[emoji482]Sawa coca.