Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k