DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Mtoto mdogo huyoAnafikiri anatatua tatizo kumbe ana liongezea.
Mtoto mdogo huyoAnafikiri anatatua tatizo kumbe ana liongezea.
Kweli akichanganya na digital marketing anakua mzuri sanaHiyo 6 kuajiriwa na kujiajiri rahisi Sana Kama umechangamka kichwani na unajichanganya na watu mikoa ya kibiashara mfano Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, ...
Namba 7 fursa za ajira na kujiajiri zipo nyingi.
Kifupi akili yako tu na kujituma.
Upo sahihiSi kweli, maisha ni bahati tu, kwa hali ilivyo hata MD wanasugua bench. Nina wenzangu watatu wana degree ya ualimu 2015, now tokea 2023 wapo Dangote kwenye kampuni ya Logistics. Kilichowabeba si walichosoma bali ni kwamba wamesoma.
Sasa hasipo ielewa atafaulu vipi.Ni kweli lakini nimesema akiisoma vizuri na akaielewa, akijitahidi kupitia source mbalimbali kwasababu lecture wa kibongo jau sana, lakini asipokomaa na kusoma Kwa bidii na kujiongeza aaah lazima kuchoma movie imuhusu.
Mkuu maisha ukicheka nayo yatakupeleka kasi sana.Amini unachofany ila jiongezee..Shule ni utajiri ikiwa tu ina uwekezaji wenye akili ndaani yake.Umeongea kitu Cha maana kabisa, kikubwa madogo wasikate tamaa wasome lakini wafocus upande wa pili zaidi.
Mkuu computer science ni zaidi ya darasani Ili mwanafunzi awe programmer (full stack developer) lazima ajue fronted na backend lazima ajue language zisizopungua 10, HTML, CSS, JAVASCRIPT, JAVA,RUST,GO,PHP, PYTHON, SQL N.K vyuo vyetu havikufundishi wewe kujua yote hayo vinakupa basic tu, data science lazima ajue SQL, python, power bi, advanced Excell, machine learning chuo Gani kinachofundisha complete Kwa vitendo ? Cyber security napo mambo ni mengi mno unaona?Sasa hasipo ielewa atafaulu vipi.
Computer science unasubiri ufundishwe kwa vitendo kweli? Yaan kuna tutorials theory na practical kibao YouTube, kuna Udemy bila kusahau huko Torents kuna tutorials kibao, unacho hitaji PC na software basi,ambazo ni free. Broo best coder duniani ni wale self learner.Halafu code sio lazima ujue language zote, unaweza ukajua hata tatu, basi zikakuingizia hela ndefu tu,achana na akili ya kutaka kufundishwa kila kitu darasani,halafu ukimaster language moja nyingine kuzielewa ni easy,ukijua function kwenye C++ msingi wake ndio ule ule unautumia kwenye Python, Java kinacho tofautiana ni syntax.Online kuna materials kibao ni wewe kuwa tayari, Udemy kuna course nzima unaisoma kwa elfu 30 tu, wewe upo dunia ipi hebu grow up acha lawama.Mkuu computer science ni zaidi ya darasani Ili mwanafunzi awe programmer (full stack developer) lazima ajue fronted na backend lazima ajue language zisizopungua 10, HTML, CSS, JAVASCRIPT, JAVA,RUST,GO,PHP, PYTHON, SQL N.K vyuo vyetu havikufundishi wewe kujua yote hayo vinakupa basic tu, data science lazima ajue SQL, python, power bi, advanced Excell, machine learning chuo Gani kinachofundisha complete Kwa vitendo ? Cyber security napo mambo ni mengi mno unaona?
Hahaha hicho ulichokiandika kimenikuta Mimi 100%Tatizo wengi wa vijana wanasoma Kwa kufuata mkumbo yaani hawajui wanachokitaka kabisa mfano walimu wengi wamesoma hiyo kozi kisa kupata mkopo mkubwa au uhakika wa kazi, what a fuc*king nonsense...Yaani kama mtu kamaliza Hadi form six na hajui anataka nini sasa huyu kweli si Hana chake maana atapoteza muda weee Hadi kushtuka tayari ana familia na umri umeenda...Mimi Nadhani Kwanza tuwafundishe vijana wetu kujitegemea kiakili na kuwakomaza Kwanza kifikra, halafu tunawaacha wachague wenyewe wanachotaka watajua nini cha kufanya ili kutoboa, maana hata umchagulie kozi nzuri still bado Hana uhakika wa kupata kazi, kwanini tusiwajengee vijana wetu uwezo wa kujiajiri wenyewe Kwa kile wanachopenda na sio kufuata hot passion of the day?
No. 2, 4, 6, 8 na 9 kwa ulimwengu wa sasa ni kozi nzuri za kijasiriamali kama unajua kujiongezaUkisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Mimi broo sio developer ni data engeneer, but nimekuelewa mno binafsi GitHub na torrents ndio zinanisaidia.Computer science unasubiri ufundishwe kwa vitendo kweli? Yaan kuna tutorials theory na practical kibao YouTube, kuna Udemy bila kusahau huko Torents kuna tutorials kibao, unacho hitaji PC na software basi,ambazo ni free. Broo best coder duniani ni wale self learner.Halafu code sio lazima ujue language zote, unaweza ukajua hata tatu, basi zikakuingizia hela ndefu tu,achana na akili ya kutaka kufundishwa kila kitu darasani,halafu ukimaster language moja nyingine kuzielewa ni easy,ukijua function kwenye C++ msingi wake ndio ule ule unautumia kwenye Python, Java kinacho tofautiana ni syntax.Online kuna materials kibao ni wewe kuwa tayari, Udemy kuna course nzima unaisoma kwa elfu 30 tu, wewe upo dunia ipi hebu grow up acha lawama.
Pharmacy?Kwenye strong zako sijaona medical doctor na Nursing?
Unamshaurije? Atafute passport atembee.#12 anatafuta nini kwa ma HR wa bongo?
Ndio au atafute remote work 🧑💻Unamshaurije? Atafute passport atembee.
Kweli kabisa, ila Kwa nchi yetu naona itachukua miaka mingi kidogo kutambulika katika muundo ya ajira hapo banks na mitandao ya simu ndiio inawachukua sanaNdio au atafute remote work 🧑💻