Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
AI doing better job than humans and cheaperKwanini mkuu hiyo kampuni imefirisika?
AI doing better job than humans and cheaperKwanini mkuu hiyo kampuni imefirisika?
Inakuja sooner than you thinkSio Kwa mazingira ya hapa bongo mkuu, hapa bongo AI/ML Bado saana Yani Bado saaana
Mkuu Mimi nakwambia ukweli , hapa tanzania Bado machine learning and AI iko peak huko Duniani tokea 2022, hapa mpaka 2026 hakuna kitu/hakuna mtu anayejua kwanza tu huko serikalini Bado wanafanya vitu local manual, itakuja kureplace wapi?Inakuja sooner than you think
😁😁😁4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
Mdogo wangu kasomea takwimu yupo kitaa tangu 2010 yan 15 years now,post zikitoka huwaga ni position moja tu..Sahiz anasaga zake mashine ya unga ya family hana hata stress hajui hata vyeti vilipoKuna ndugu yangu kasomea takwimu yaan ni mtakwimu ila tuko naye tu mtaan hapo ndo ipi kwa hizo kozi ulizotaja hapo juu
We Mwalimu, ulishapata uhamisho kule Kigoma?Mimi ni data engeneer mkuu
Boss hiyo craftsmanship nilikucheck inbox , nilitaka ninunie ile mashine vipi tender za kuchonga vipuri ipo?
MD kuna kipindi walikuwaga kwenye sweetspot sabb walikuwa wachache na uhitaji ulikuwa mkubwa, ila sasa hivi doktas wapo kwenye foleni pia.Well well.. kwa marefu na mapana, kama ilivyo MD Leo na wenyewe wanapanga foleni kufanyiwa interview
Huyo atatufaa maafisa ubashiri kwenye wagering and odds managementKuna ndugu yangu kasomea takwimu yaan ni mtakwimu ila tuko naye tu mtaan hapo ndo ipi kwa hizo kozi ulizotaja hapo juu
Nilishaondoka, nipe kazi ya data/website/application design.We Mwalimu, ulishapata uhamisho kule Kigoma?
Sawa mkuu umeongea vitu muhimu sana. Mtu yoyote anaweza kujifunza hapaHakuna tenda, wewe anzisha Metal Workshop, iweke Lathe Machine hapo, watu watakuja wenyewe kukuletea kazi, ndogo, kubwa na za kati.
Badae utaongeza mashine zingine hapo hapo Drills, Milling machines, weldings, hydraulic press nk.
Ni garage tayari hiyo hapo. Mashine kukata chuma kizito (Gesi), Hakuna chuma utashindwa kuchonga, kukikata, kuvunja au kukinyoosha au kukikunja kulingana na mahitaji ya mteja.
Inbox waga sijibu sms za watu; hata hivyo nitakujibu kwa heshima yako.
Kwenye bank na mitandao ya simu, lakini halmashauri hawaitambui ni kitu Gani. Hawajawai kuisikia tokea wamezaliwa.Hiyo Data Science si juzi tu CEO wa NMB amesema wana uhitaji mkubwa sana na hao watu pale kitengoni
Mtaandaliwa mizinga kama backup í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£Na sisi tuliosoma chuo cha ufugaji wa nyuki tunawekwa kundi lipi?
Mwanasheria akaendeshe boda kabisa?