Kiranja wa Kijiweni
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 593
- 1,072
Kila kitu kina nafasi yake na michongo yake, sehemu unapoona ww hapana fursa au dili, basi hapo hapo kuna watu huwatoi na wanapiga pesa zao hapooo.
Hizo kozi unazozichukulia poa, kuna watu zinawapa maisha, na kuna wengine wapya zinazidi kuwatengenezea maisha.
Halafu kila mtu akianza kusoma hizo kozi ulizozitaja kuwa zina deal na zenyewe zitashuka soko, it's all about supply and demand.
ila "E no easy" sabb hakunaga kozi ambayo ni guarantee kwamba ukienda tu tayari unapiga pesa kwa raha mustarehe.
Ni mwendo wa kugamble tu, calculated gamble.
Pia hizo unazoziona wewe kama ni rahisi kutusua mtaani kama ukizisoma, nakukumbusha kwamba wapo watu wamezisoma na wanashangaaga shangaa tu mtaani.
Nimesoma Computer Science na sijakaa mtaani, Kuna madogo yapo eGa, pindi mimi nipo third year menyewe yapo Second year.Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k