Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
HahahahaNa sisi tuliosoma chuo cha ufugaji wa nyuki tunawekwa kundi lipi?
Uneshajifunza bodaboda?Na sisi tuliosoma chuo cha ufugaji wa nyuki tunawekwa kundi lipi?
Sijaorodhesha zote, zipo nyingi mno takwimu wengi wanaingia kwenye data science Sasa uko Kuna programming na skills mbali mbali.Kuna ndugu yangu kasomea takwimu yaan ni mtakwimu ila tuko naye tu mtaan hapo ndo ipi kwa hizo kozi ulizotaja hapo juu
But , cyber Security is a specialized area within computer science...Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Kwanini watu. Wa forex mnapost magari sanaMm madogo nikuwafundisha forex tu wakimaliz wasiwaze ajira
Ooh ni kweli lakini computer science au ICT imebeba vitu vingi sana networking, cyber security, programming, data science n.k kiukweli mtu kuwa competent in all aspect ni uongo, naona UDOM na IAA wanasoma cybesecurity pekee.But , cyber Security is a specialized area within computer science...
Je, ni kweli kwamba wote waliosomea kuyaendesha hayo ma-Bulldozer wapo kwenye vitengo na wanakula net salary za over Tsh. 4M kwa mwezi, kwa scale za JAMIIFORUMS SALARY SCALE (JFSS)? 🤔Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
Haha hapana hatuongelei mshahara mkubwa ila sehemu ya kujishikiza, sidhani kama folk operator Hana mchongo au kazi wengi wanakaa Siku mbili wanapataJe, ni kweli kwamba wote waliosoma kuendesha ma-bulldozer wapo kwenye kitengo na wanakula net salary za over Tsh. 4M kwa mwezi kwa scale za JAMIIFORUMS SALARY SCALE (JFSS)? 🤔
Maana wadau wa JF huku karibu wote ni matajiri, sabb hata ukiwaambia unalipwa 2.5m kwa mwezi bado watakuambia ni ndogo sana, acha kazi.
Sawa mkuu.Ooh ni kweli lakini computer science au ICT imebeba vitu vingi sana networking, cyber security, programming, data science n.k kiukweli mtu kuwa competent in all aspect ni uongo, naona UDOM na IAA wanasoma cybesecurity pekee.
No 10 uongo akikomaa na code, hesabu na akijiongeza kwenye Data science huyo sio mwenzio. Computer science ni bonge moja la course, kwani anaweza hata kuwa Cybersecurity,akafanya Database,Programmer au Data Scientist nk.Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup.
1. Human resources management
2. Business Administration
3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini)
4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe)
5. Records Management (Kila kitu sasa hivi kwenye mifumo)
6. Marketing and Public Relations
7. Tourism
8. Law
9. Tax and insurance
10. Computer science (ukiwa vizuri ila ukitoka unga utakuwa mpiga window tu)
11. Regional development planning
12. Data science/engineering (hata HRs hawajui hii course inahusu nini kwasababu Bado wako mwaka 1900 jaupo Kwa nchi nyingine ndio future)
13. Wildlife management study at your own risk.
14. Sociology
15. Political science and public administration
16. Bachelor of Commerce
Course strong ambazo zina direction na future nzuri.
1. Cybersecurity
2. Medical physics (radiology)
3. Dental surgery
4. Physiotherapy
5. Kubwa la vyote ni VETA, akachukue umeme wa magari, kuoperate Yale ma bulldozer, lathe Operation n.k
La kula asaliNa sisi tuliosoma chuo cha ufugaji wa nyuki tunawekwa kundi lipi?