Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

Kuna mdogo wetu mwaka jana nilimshauri akasome electrical engineering akakuabali lakini akaja kaka yetu mkubwa akamshari akasome biotechnology hapo DIT akakubali na akapuuza ushauri wangu. Kwa sasa yupo mwaka wa kwanza anasoma biotechnology engineering hapo DIT sasa namsubiri amalize halafu ndo tuongee vizuri.
 
Hiyo ya Record Management ni kweli kabisa
 
Inakuja sooner than you think
Mwambie aende insta aka heki technology ya AI inavo kula kazi za watu, wasanii wanatoa nyimbo bila kwenda location mfano sweet ya jux na nandy.

Unaweza chukulia poa ila hapo ajira zilizo kosa hela ni nyingi, kuanzia crew nzima ya shooting, wasafirishaji, watu wa chakula Kwa crew, nk shida tupu
 
Labda huyo brooh wenu ana target sehemu ko atamuweka hapo huyo Dogo, ila km not, bas Dogo asubiri kimlambee. Lol
 
Halafu cha ajabu matajiri wanaolalamika hali ngumu huku wote wakiwa na kipato kikubwa,mahekalu na magari ya kifahari.Na wote wapo JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…