dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #21
Hpn niko mbali mkuuHamia kwake hadi iwe kero atakupa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hpn niko mbali mkuuHamia kwake hadi iwe kero atakupa!
Zama za leo watu wengi wenye uhusiano wa karibu wamekuwa matapeli. Utapeli (wizi wa kuaminiana) unaongezeka kwa kasi sana miongoni mwa jamaa wa karibu.Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma .
Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe ujenzi.
Kwa hyo kwa kifupi sikuwa na haraka sna na hizo pesa, Sasa ni mwaka una karibia kukatiwa hadi Leo hajapata na amekata mawasiliano na mimi kabisa nimeenda home nikamshaki kwa wazazi, wazazi wakasema watampigia aje aseme lini atanipatia hzo pesa kwa vile hata mimi nimekwama, akitoa ahadi kuwa mwezi wa Tisa atanilipa ila hadi sasa hajafanya lolote
!
Na fikiria kupeleka mahakamani ili nikapate haki yangu ambayo anataka kunidhulumu
Ndugu yangu ana kazi yake nzuri tu ana maisha mazuri tu ila nashangaa hati kunipa pesa zangu. Nampeleka mahakamani jumatatu
Naombeni ushauri wenu
Milion tano nisameheSamehe Saba mara sabini
Milion tano sina maisha mkuu hapnaZama za leo watu wengi wenye uhusiano wa karibu wamekuwa matapeli. Utapeli (wizi wa kuaminiana) unaongezeka kwa kasi sana miongoni mwa jamaa wa karibu.
Kama inawezekana msamehe tu then yootezee hilo deni. Msije mkaanza kurogana bure
Amegoma Kwa jeuri zake tu au amegoma Kwa sababu biashara yake haiendi, anaona akitoa anaanguka?.HYa hyo kdg kidg amegoma nilitka kununua Bati na pesa hzo ila ndio hvyo hataki kutoa dah
Ukimsamehe utaruhusiwa kudraw kwenye ac yake.Milion tano nisamehe
Sio kweli, 5 M sio Pesa ya kuipata Mara Moja tu Kwa MTU anayejitafuta, ni Pesa ambayo unavyoitoa au unavyoirudisha Moja Kwa Moja kunakua na Hesabu kaliii.Samehe Saba mara sabini
hukuja kuomba ushauri bali unataka uthibitisho wa ulichokiamua.Broo mm sin uwezo wa kumzamehe mtu milion 5 sina kwa kweli sina hata Uwezo wa kusamhe laki mbili sembuse hyo hapna jtatu kesi itanza
Ongea na wazee kwanza kabla ya kwenda kwenye sheria.. Kama ndio tabia yake hata huko kwenye sheria atakusumbuaBroo mm sin uwezo wa kumzamehe mtu milion 5 sina kwa kweli sina hata Uwezo wa kusamhe laki mbili sembuse hyo hapna jtatu kesi itanza

Inauma sana lkn unakuwa huna jinsi. unasamehe tuSio kweli, 5 M sio Pesa ya kuipata Mara Moja tu Kwa MTU anayejitafuta, ni Pesa ambayo unavyoitoa au unavyoirudisha Moja Kwa Moja kunakua na Hesabu kaliii.
Sio Pesa ya kusema, na kesho nitaipata ngoja nipotezee.
Labda kama wee ni Mwigulu .
Usipende kuunganisha Kila Kitu na IMANI.Ukimsamehe utaruhusiwa kudraw kwenye ac yake.
Yaani water spring ya baraka yake inakauka na kuelekezwa kwako.
Mimi ni shahidi wa hili
Siwez fanya hivo Kwa Pesa kuanzia 1 M.Inauma sana lkn unakuwa huna jinsi. unasamehe tu
AiseeBroo mm sin uwezo wa kumzamehe mtu milion 5 sina kwa kweli sina hata Uwezo wa kusamhe laki mbili sembuse hyo hapna jtatu kesi itanza
Niamini mimi hakulipi endele na mambo mengineMwanamke aise siwezi pegania nae
Kama kuna sehemu hakuna haki nchi hii ni mahakamani na taasisi nyingine naogopa kuitaja.Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma .
Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe ujenzi.
Kwa hyo kwa kifupi sikuwa na haraka sna na hizo pesa, Sasa ni mwaka una karibia kukatiwa hadi Leo hajapata na amekata mawasiliano na mimi kabisa nimeenda home nikamshaki kwa wazazi, wazazi wakasema watampigia aje aseme lini atanipatia hzo pesa kwa vile hata mimi nimekwama, akitoa ahadi kuwa mwezi wa Tisa atanilipa ila hadi sasa hajafanya lolote
!
Na fikiria kupeleka mahakamani ili nikapate haki yangu ambayo anataka kunidhulumu
Ndugu yangu ana kazi yake nzuri tu ana maisha mazuri tu ila nashangaa hati kunipa pesa zangu. Nampeleka mahakamani jumatatu
Naombeni ushauri wenu
Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma .