Ndugu yangu amegoma kunirudishia pesa zangu

Huyo sio kama hana pesa ya kukulipa, ka-take advantage ya udugu....ndio imetoka hio ikirudi panchaaaaaaa.
Na ukitaka kudai kwa nguvu hizo unazozisema ndio ushaharibu zaidi, hio pesa pesa hata usiihesabu kama ni ya kwako. Ikirudi fahwaaaa muraaaaadddd
 
Bust - kupasuka❌
Boost - kuongeza✔️
 
Hivi ukoo ukikugeukia na hakuna msaada wowote kwenye maisha yako kuna shida gani???
 
Mzee dai chako mpka kieleweke achana na hao wanakupa ushauri wa kizembe sijui ukoo sijui vita ya vizazi sijui kisasi ...kwani yeye anavyokudhulumu kizazi chako kitakuwa na amani au mkeo anakuwa anajisikiaje we kaza mzee pesa ngumu huyo ndugu kamwaga ugali we mwaga mboga.

Otherwise labda kama katika mafanikio yako alishiriki kwa namna moja au nyingine.
 
Sasa watu wananjaa nawewe hujawai kuwatumia pesa yakujikim hata siku moja ila pesa yakujengea kaburi umetuma hata mim ningekula asee
Watu wanapenda makaburi kuliko hata ndg wa damu, yaani watu hawana pesa ya kula alafu wwe unatuma pesa ya kujenga kaburi!hata mi ningekula kwanza na ujenzi siku nyingine! Yaani ukiwa hai hupewi hata pesa ya kula, ukifa unajengewa hadi kaburi! Watu weusi ni shida sana!!
 
Hamna mtu mbaya kama ndugu, mi mwaka jana kuna bro wangu aliniomba mbao 40, niliangalia uwezo wake nikajua uhakika wa kulipwa upo, ila hadi leo ni sound tu.

Nimeapa siji kurudia huo upuuzi mpaka kuondoka kwangu duniani
 
Unarahisisha sana et ee
Umpekeleke ndugu yako mahakamani sababu ya hela?

We ni mchaga sorry?

Umesaidia wangapi aisee ije kuwa ndugu yako kabisa tena unasema wadamu!

Potezea tu
 
Hamna mtu mbaya kama ndugu, mi mwaka jana kuna bro wangu aliniomba mbao 40, niliangalia uwezo wake nikajua uhakika wa kulipwa upo, ila hadi leo ni sound tu.

Nimeapa siji kurudia huo upuuzi mpaka kuondoka kwangu duniani
Mbao arobaini mkuu unamdindia ndugu Yako? Samehe acha zako
 
kawakodi OYA wakusaidie ,wakimuua unaenda jela
 
Sikulipi bwana mdogo hapa ni ubaya ubwela, afile munu asigale munu
 
Kwa dada hapo, hamia kwake halafu uwe unashinda na remote hapo kwake nyandua kila hausigeli anaekuja.. atakulipa mara 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…