Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Ila mimi sio kakaKaka wanasema tenda wema nenda zako mwaka fulani nikiwa chuo nilinona kuna mwanachuo mwenzetu ni kanda moja alinyimwa kufanya mtihani wa mwisho kwasababu ya michango moyo wa hofu ya mungu ikaniingia nikampa laki tano japo kusema ukweli kipindi kile nilimpa tu sikuwaza madhara yake.
Tukamaliza chuo yeye mwaka moja tu kapata ajira huwezi amini mpka sasa mimi nipo mtaani yeye yupo kwenye mfumo mwaka wa 12 huu hajawahi nirudishia hata mia. Wanasema tenda wema nenda zako