Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao finyu ana uwezo wa kuingiza watu barabarani na kuiondoa serikali kwa njia za kihuni.
Kumchangia Lissu anunue gari ni geresha tu ndugu yangu ila ukweli ni kuwa Lissu atakabiliana na wewe safari hii by hooks or crooks, wewe ni stateman lkn jiandae kukiachia chama.
Nakushauri huna cha kupoteza umefanya kazi kubwa hadi chadema imefika hapo, pumzika umuachie huyo Lissu aone ugumu na changamoto za siasa nchini.
Sisi tunaoona nyie wapinzani waganga njaa mnatupotezea muda tu