Pre GE2025 Ndugu yangu Freeman Mbowe jiandae, Tundu Lissu anajiandaa kupambana na wewe kwenye nafasi ya Uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao finyu ana uwezo wa kuingiza watu barabarani na kuiondoa serikali kwa njia za kihuni.

Kumchangia Lissu anunue gari ni geresha tu ndugu yangu ila ukweli ni kuwa Lissu atakabiliana na wewe safari hii by hooks or crooks, wewe ni stateman lkn jiandae kukiachia chama.

Nakushauri huna cha kupoteza umefanya kazi kubwa hadi chadema imefika hapo, pumzika umuachie huyo Lissu aone ugumu na changamoto za siasa nchini.

Sisi tunaoona nyie wapinzani waganga njaa mnatupotezea muda tu
 
Kama ww ni mwanaume, basi ni wale wizara iliyotenga kufanya utafiti kwanini nguvu za kiume zimepungua.

Kwa taarifa yako muda wa Mbowe kuwa mwenyekiti wa cdm umepita, kama mlikuwa mnampa nguvu ya kukaa madarakani Ili aendelee kuzuia mabadiliko, basi mmeukalia. Ccm itatoka madarakani kwa machafuko au mapinduzi ya kijeshi, hili halikwepeki. Hiki sio kizazi cha ccm, na muda wa nyie kuendelea kukaa madarakani kwa kupora chaguzi za nchi unazidi kuwatupa mkono. Ni suala la muda tu.
 
Sawa muondoeni Sultan,alafu tuone sasa.
 
Mbowe inatakiwa kikatiba asigombee.Sawa?Sasa ajiandae kufanyaje kuhusu Lissu?
 
suala ni demokrasia ichukue mkondo wake kuna shida gani wataachiana mmoja angombee urais mwingine uwenyekiti
 
siasa ni kujipanga tu my friend, kutishana ni useless 🐒
 
ACHA KULETA UCHAWA WA CCM MKUU, KWANI MAMBO YA CHADEMA YAKUHUSU NINI WEWE, UMETUMWA SIO BURE
 
Utakufa wewe na ukoo wako wote CCM itabaki madarakani, itunzee hii quote atakuja kuiona mjukuu wa mjukuu wako inshaallah
 
SIKUJUA KAMA UNA UJINGA HUO ACHA UCHONGANISHI KWA HIYO NA MAMA AJIANDAE KINANA ANAITAKA ILE NAFASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…