Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

Ahahahahah yaani...
Ujinga ujinga tuuu..

Et akifika nyumbani apike msinunue chakula...
Yaani wanataka kuweka maisha magumu sana..

Sema mi kwa sasa napitaga tuu akija akipika asipike mi ni kuchapa na kusepa... Kuchapa + tukio= anasepa
Maisha magumu bado tena watu wanayaongezea ugumu.

mtu anajibaaaana anasevuuu anagongwa boda anadanja pesa zake tunapika masufuria ya wali nyama tunalia huku tunatafuna😹😹
 
Maisha magumu bado tena watu wanayaongezea ugumu.

mtu anajibaaaana anasevuuu anagongwa boda anadanja pesa zake tunapika masufuria ya wali nyama tunalia huku tunatafuna😹😹
Wansema don't complicate life....
Life hili hili KAMA IPO IPO TU.....

Unakifa kwa njaa alafu siku ya msiba wako watu wanakula na kusaza manina zaoooo ahahah
 
N
Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.

Acha Kuendekeza wanawake

Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo;

1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa.

2. Kuwa na mwanamke mpambanaji, usichukue beki tatu (beki tatu namanisha mwanamke golikipa kila kitu anakutegemea wewe). Usibebe mwanamke wa kumlipia kodi, mwanamke awe anajimudu, wewe uwe unaweka chachandu na mahitaji madogo madogo. Bora kuwa single ila sio na beki tatu (ukweli unauma najua).

3. Tenga bajeti ya mpenzi wako, mfano ukisema kwa mwezi umpe mpenzi wako Tsh. 50,000 ya mahitaji, ikizidi hapo tangaza huna hela hadi mwezi ujao, kama ni muelewa wewe mwambie mapema kabisa, mimi kwa mwezi nakupa Tsh. 20,000 ya kusuka, Tsh. 10,000 ya vocha na Tsh. 20,000 ya extra then kila mwezi wewe mpe hiyo pesa halafu usisumbuane nae.

Mwambie kwa level yangu mama mimi nakupa Tsh. 50,000 kila mwezi basi, ila kama uwezo wako wa Tsh. 10,000 mwambie kabisa (Hapa sheria ni isizidi 9.8% ya kipato chako, kama mnakumbuka Mungu tunampa 10% kwa hiyo hatuwezi mpa mwanamke kiwango kinachozidi hapo.

4. Usimpeleke mwanamke wako nyumba za kulala wageni (haitaki maelezo hii) mlete kwako ili kupunguza matumizi.

5. Akija kwako apike mwenyewe asinunue chakula, hataki afie mbele.

6. Usiwe na mwanamke wa mbali mfano mkoa mwingine, hata kama upo naye mji mmoja hakikisha nauli ya kumleta kwako haizidi Tsh. 2,000 kwa bodaboda na Tsh. 1,000 kwa daladala. Hili halina maelezo wote tunajua kauli ya sina nauli.

Nimemaliza

Kijana uliyehitimu kidato cha nne, kidato cha sita na chuo kikuu bado unajitafuta usisahau kufukua huu uzi wa ufadhili wa masomo nchi mbalimbali duniani: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

Fukua huo uzi kajitafute nje ya nchi.
Nisisahau kukupongeza mkuu
 
Back
Top Bottom