Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Jibu swali!Daah najitaid niwe humble ila kun wat munapanikisha
Kwann alikamatwa kwa ajili ya sakata la kibiti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali!Daah najitaid niwe humble ila kun wat munapanikisha
Sawaakma una ndugu dar waambie waende police pale Tazara watawapa ripot yote
Kwahiyo mtu akiwa na pingu ni usalama wa taifa!? Vipi kama ni watu aliokuwa akishirikiana nao awali wameamua kumteka baada ya kuona kawasaliti! Binafsi nahisi kuna jambo kubwa unalofahamu nje ya haya maelezo yako maana hayana mashiko.nin uhakika kama n usalama kwa sababu walikuwa na pingu sidhani kam kun taasis nyingine isio y kiserikal ingeweza kumfunga pingu na alaf ninahisi pengine anatuhumiw kwa ishu za ugaidi kwa sababu hiyo ndo sababu pekee ambay ilimfany akae mahabus kwa mar y kwanza yaani jamaa ni msafi na hana kashfa yoyote na ukitak kuamin hlo nenda hap ruangwa mjin kamuulizie abdul muuza maji ndo watakwambia
Bro naon ungekaa kimy tu maan unaniongeza hasir nikutukane ila sitaki nifike huko nakujib kwa hoj unaniletea vitisho nimekuambia mim siogopi jela wala polisi kw kuw tu sina kosa n kama kuna usalam hum ana taarifa kumuhusu ndug yang m niko tayar nifanye mawasiliano nae nimfuate kokote alikoKwahiyo mtu akiwa na pingu ni usalama wa taifa!? Vipi kama ni watu aliokuwa akishirikiana nao awali wameamua kumteka baada ya kuona kawasaliti! Binafsi nahisi kuna jambo kubwa unalofahamu nje ya haya maelezo yako maana hayana mashiko.
Kwenye ugaidi inategemea jina gani kama si vijana wa Allah.Jina lake?
Tulitoa taarifa kituo cha polisi ruangwa mjin lakin wakasema hawama taarifa zozote till nowIlitakiwa ndani ya saa 24 wawe wametoa taarifa polisi. Wiki mbili ni far beyond "reasonable time" to report such an incident.
Aweke majina, picha, mahali, muda na tarehe aliyokuwa apprehended.
Maafisa waadilifu wa Serikali tuko humu tutamsaidia. Serikali ya mama SSH haiwezi kuruhusu hujuma za namna hii.
Afanye haya ASAP.
Muwe mnaangalia majina ya kutumia, Mimi ningekuwa kwenye hii familia nisingekubali kutumia hili jina, ningekwenda kuchukuwa deed poll kabisa kubadili jina.Anaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita
Tamaa, ukosefu wa maadili, ukatili, visasi, na ujinga na upumbavu.Unafikiri chanzo au sababu ya uhalifu ni nini?
Ishu nahisi ni kampani maana nasikia huy rafiki yake mmoja ana video kabisa za mauaji yanayofanywa na alshabab au vikundi vingne vya kigaidi kwenye simu yakePole sana mkuu kama ni watu wa usalama basi ondoa shaka kama hausiki atapatikana, watu wa usalama huwa hawakosei intelejensia yao ni kubwa mpka wanavamia sehemu ni kwamba wanauhakika maana wanalengeshewa na wanamashushu kila kona hadi adi askari vidole, icho kisa kiliwah mtokea dogo langu age 17 miaka kadhaa nyuma
Kiukweli ye si mwizi hata kidgo ila anavuta bangi na anafanana kopy na muhalifu yani huwezi watofautisha ila kampani yake ni wale wezi tena wezi haswa wanaovunja na kujeruhi watu sasa walikuwa wanatafutwa eneo fulani wakakimbia uko wakaja mtaani ambapo. Dogo ndo mtaani kwake akawa amejenga urafiki nao pengine alikuwa anajuwa au hajui ,
Walikuwa na geto kabisa sasa pale siki ya siku ikaja comvoi wazee wa Noah wakawadaka kama kuku pamoja na dogo, walizunguka vituo vyote hawapo mpaka wakaja bahatisha kituo fulani kikubwa tu na kazi yake ni kushughulika na walioshindikana. tena kibahati tu
Ila ilimchukuwa zaid ya mwezi yule dogo kuwa celo mpaka wakajathibitisha kwamba si mwizi na hana record ya uhalifu wowote na wale aliokamatwa nao wakathibitisha dogo hawamfahamu hawafahamiani dogo akatoka wenzie sijui waliendelea vipi
Turudi ktk suala lako uyo ndugu yako hakika kayakanyaga haswa na mkifanya mchezo hamtamuona tena maana haijulikani kama kakamatwa na nani rejea vijana wanne waliopotea mwaka juzi mmoja alikuwa rafiki yangu nafikiri kampani ilimponza hadi kesho haijulikani alipo
Kwa namna moja ama nyingine uyo ndugu yako either anajihusisha na ugaidi au anahifadhi magaidi au anamrafiki ambao ni magaidi au wanaviashiria vya ugaidi
Endapo watakamata na vidhibiti au wasiwasi wowote juwa amekwisha, kama hausiki itajulikana na atarejea au mtafahamu alipo
Yani kampani humponza mtu na ilo jina la nduguyo nalo chanzo
Aisee una shida ndugu yangu, pole sana. Wapi nimekutisha!? Nimekuuliza maswali mawili ya msingi ambayo umeshindwa kunijibu! Nikutakie kila lakheri kwenye mchakato wa kumtafuta "nduguyo"Bro naon ungekaa kimy tu maan unaniongeza hasir nikutukane ila sitaki nifike huko nakujib kwa hoj unaniletea vitisho nimekuambia mim siogopi jela wala polisi kw kuw tu sina kosa n kama kuna usalam hum ana taarifa kumuhusu ndug yang m niko tayar nifanye mawasiliano nae nimfuate kokote aliko
Wanaminywa vigololi huko awe mpole kidogoAisee una shida ndugu yangu, pole sana. Wapi nimekutisha!? Nimekuuliza maswali mawili ya msingi ambayo umeshindwa kunijibu! Nikutakie kila lakheri kwenye mchakato wa kumtafuta "nduguyo"
Anajiita Genius mvivuToa maelezo ya kutosha na picha. Usipoweza kutoa maelezo kwa haraka uzi utafutwa.
Jitahidi unapotoa hoja zenye tuhuma basi uweke maelezo yasiyotiliwa shaka ili vyombo husika vifuatilie na kutoa maelezo.
Maisha ya watu siyo ya kuchezea. Na huenda kuna makundi ya itikadi mbaya yaliyomteka. Sasa unapotoa tuhuma kwa usalama wa taifa bila maelezo na viashiria vya tuhuma zako unaleta taharuki.
Aisee una shida ndugu yangu, pole sana. Wapi nimekutisha!? Nimekuuliza maswali mawili ya msingi ambayo umeshindwa kunijibu! Nikutakie kila lakheri kwenye mchakato wa
Sio shida ili swala maybe ujizime data kukataa sio usalama... lakin nin uhakika hawa ni usalama maana mifumo yao y ukamataji inaeleweka wazi na kila mtu anajua rejea ishu y ben saanan..,azory gwand, wote wamekamatwa katik mifumo hiyo sasa unataka unipoteze maboy eti magaid wenzake.. TANZANIA hakuna magaidi bali hao watu waliokamatwa wana viashiria vya ugaidi au wana mawaidha yanayopigia debe ugaidi ila ule ugaid haswa wa kusem watu wanakaa porin wanajifunza mafunzo bado haupoAisee una shida ndugu yangu, pole sana. Wapi nimekutisha!? Nimekuuliza maswali mawili ya msingi ambayo umeshindwa kunijibu! Nikutakie kila lakheri kwenye mchakato wa kumtafuta "nduguyo"
Ugali wa mchana linWakiwa hawana hatia utakula nao chakula cha mchana yaani ugali, kasamaki ka kumalugia , kapilipili kidogo na maji ndoo kubwa na baadae story za shibe. The best of Roger Miller
Woiii kwa maelezo haya wala msihangaike yuko kwenye mikono salamaDaah its so sad ishu ikoje kile kipindi cha sakata la kibiti walikamatwa akiwepo na yeye ila wakarudishwa baada ya kuona hawakuw na hatia ila huyo imamu ambae alikuwa anawapa mawaidha yanayohusiana na jihadi nasikia aliuliwa huko huko na tangu kipindi hicho ratba yake masaa 24 tunaijua asubuh mpak saa 12 yupo kazin kwake alafu jion anarud nyumban analala na mkewe anathibitisha hajawahi kutoka usiku hata siku moja labda akahisi kuna shughuli nyingine anaifanya kwa siri
Good ,Ruangwa,Kuna vuguvugu la siasa.Hilo ni Jimbo la Majaliwa?Anaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita