Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Kwahiyo mtu akiwa na pingu ni usalama wa taifa!? Vipi kama ni watu aliokuwa akishirikiana nao awali wameamua kumteka baada ya kuona kawasaliti! Binafsi nahisi kuna jambo kubwa unalofahamu nje ya haya maelezo yako maana hayana mashiko.
 
Kwahiyo mtu akiwa na pingu ni usalama wa taifa!? Vipi kama ni watu aliokuwa akishirikiana nao awali wameamua kumteka baada ya kuona kawasaliti! Binafsi nahisi kuna jambo kubwa unalofahamu nje ya haya maelezo yako maana hayana mashiko.
Bro naon ungekaa kimy tu maan unaniongeza hasir nikutukane ila sitaki nifike huko nakujib kwa hoj unaniletea vitisho nimekuambia mim siogopi jela wala polisi kw kuw tu sina kosa n kama kuna usalam hum ana taarifa kumuhusu ndug yang m niko tayar nifanye mawasiliano nae nimfuate kokote aliko
 
Tulitoa taarifa kituo cha polisi ruangwa mjin lakin wakasema hawama taarifa zozote till now
 
Pole sana mkuu kama ni watu wa usalama basi ondoa shaka kama hausiki atapatikana, watu wa usalama huwa hawakosei intelejensia yao ni kubwa mpka wanavamia sehemu ni kwamba wanauhakika maana wanalengeshewa na wanamashushu kila kona hadi adi askari vidole, icho kisa kiliwah mtokea dogo langu age 17 miaka kadhaa nyuma

Kiukweli ye si mwizi hata kidgo ila anavuta bangi na anafanana kopy na muhalifu yani huwezi watofautisha ila kampani yake ni wale wezi tena wezi haswa wanaovunja na kujeruhi watu sasa walikuwa wanatafutwa eneo fulani wakakimbia uko wakaja mtaani ambapo. Dogo ndo mtaani kwake akawa amejenga urafiki nao pengine alikuwa anajuwa au hajui ,

Walikuwa na geto kabisa sasa pale siki ya siku ikaja comvoi wazee wa Noah wakawadaka kama kuku pamoja na dogo, walizunguka vituo vyote hawapo mpaka wakaja bahatisha kituo fulani kikubwa tu na kazi yake ni kushughulika na walioshindikana. tena kibahati tu

Ila ilimchukuwa zaid ya mwezi yule dogo kuwa celo mpaka wakajathibitisha kwamba si mwizi na hana record ya uhalifu wowote na wale aliokamatwa nao wakathibitisha dogo hawamfahamu hawafahamiani dogo akatoka wenzie sijui waliendelea vipi

Turudi ktk suala lako uyo ndugu yako hakika kayakanyaga haswa na mkifanya mchezo hamtamuona tena maana haijulikani kama kakamatwa na nani rejea vijana wanne waliopotea mwaka juzi mmoja alikuwa rafiki yangu nafikiri kampani ilimponza hadi kesho haijulikani alipo

Kwa namna moja ama nyingine uyo ndugu yako either anajihusisha na ugaidi au anahifadhi magaidi au anamrafiki ambao ni magaidi au wanaviashiria vya ugaidi

Endapo watakamata na vidhibiti au wasiwasi wowote juwa amekwisha, kama hausiki itajulikana na atarejea au mtafahamu alipo
Yani kampani humponza mtu na ilo jina la nduguyo nalo chanzo
 
Ishu nahisi ni kampani maana nasikia huy rafiki yake mmoja ana video kabisa za mauaji yanayofanywa na alshabab au vikundi vingne vya kigaidi kwenye simu yake
 
Aisee una shida ndugu yangu, pole sana. Wapi nimekutisha!? Nimekuuliza maswali mawili ya msingi ambayo umeshindwa kunijibu! Nikutakie kila lakheri kwenye mchakato wa kumtafuta "nduguyo"
 
Wakiwa hawana hatia utakula nao chakula cha mchana yaani ugali, kasamaki ka kumalugia , kapilipili kidogo na maji ndoo kubwa na baadae story za shibe. The best of Roger Miller
 
Anajiita Genius mvivu
 
Aisee una shida ndugu yangu, pole sana. Wapi nimekutisha!? Nimekuuliza maswali mawili ya msingi ambayo umeshindwa kunijibu! Nikutakie kila lakheri kwenye mchakato wa

Aisee una shida ndugu yangu, pole sana. Wapi nimekutisha!? Nimekuuliza maswali mawili ya msingi ambayo umeshindwa kunijibu! Nikutakie kila lakheri kwenye mchakato wa kumtafuta "nduguyo"
Sio shida ili swala maybe ujizime data kukataa sio usalama... lakin nin uhakika hawa ni usalama maana mifumo yao y ukamataji inaeleweka wazi na kila mtu anajua rejea ishu y ben saanan..,azory gwand, wote wamekamatwa katik mifumo hiyo sasa unataka unipoteze maboy eti magaid wenzake.. TANZANIA hakuna magaidi bali hao watu waliokamatwa wana viashiria vya ugaidi au wana mawaidha yanayopigia debe ugaidi ila ule ugaid haswa wa kusem watu wanakaa porin wanajifunza mafunzo bado haupo
 
Wakiwa hawana hatia utakula nao chakula cha mchana yaani ugali, kasamaki ka kumalugia , kapilipili kidogo na maji ndoo kubwa na baadae story za shibe. The best of Roger Miller
Ugali wa mchana lin
 
Woiii kwa maelezo haya wala msihangaike yuko kwenye mikono salama
 
Taja majina yake kwana maana shida ya hii nchi unaweza kuta bado wanahangaika na watu wenye majina ya kiislamu.Kama ni Sio waislamu basi ni viuzuri ukacheck wasije kuwa katika sakata kama lile la Kina Mbowe na Kingai maana kwa sasa HIVI Mambo ni mengi yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…