Imani YAKE.Ishu ya picha nishatolea maelezo post za juu kwamba kwa imani yake hata kupiga picha ni dhambi so tumetafuta picha zake za nyuma tumekosa sasa unataka nitoe maelezo gani tena
serikali ina macho mia mbili!! haikosei,,,,bila shaka anaitwa bilal au?Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Huy bilal unaemsem ndo alikamatwa kipind kile sekeseke la kibit na tulipata taarifa kwamb ameuliwa huy ndug yangu haitwi bilal mkuuserikali ina macho mia mbili!! haikosei,,,,bila shaka anaitwa bilal au?
anaitwa nani?Huy bilal unaemsem ndo alikamatwa kipind kile sekeseke la kibit na tulipata taarifa kwamb ameuliwa huy ndug yangu haitwi bilal mkuu
Anaitwa ABDU OMARIanaitwa nani?
sawaAnaitwa ABDU OMARI
Kwani mahakama si zipo?Ni aheri wachache wakauawa kuliko hao wachache wakaachwa halafu wakaja kuua watu wengi sana!! Magaidi wasikie tu, hawafai hao watu!!
Hivi bro unadhani unawez ukanitish kwa jambo ambalo halin kichwa wala miguu nimeshakuambia kam kun usalam hum nko tayar kuwek hat details zangu ili nkamwone ndugu yangu na ikiwezekana kumteteaNashauri uongozi wa JF, TCRA na Polisi waingilie kati Uzi huu.
Kwa sababu nina uhakika bro hausikiHivi bro unadhani unawez ukanitish kwa jambo ambalo halin kichwa wala miguu nimeshakuambia kam kun usalam hum nko tayar kuwek hat details zangu ili nkamwone ndugu yangu na ikiwezekana kumtetea
Kabla ya kusumbuka kuwatafuta hao watu mimi mwenyewe niko tayari kuweka details zangu mi sio type ya watu nayeogopa polisi pasi na kosa maalum n huk polisi nishawahi kwenda kupeleka kesi zaiidi ya tat na zote nilishindaNashauri uongozi wa JF, TCRA na Polisi waingilie kati Uzi huu.
Ninakutisha kivipi tena wakati hao watajwa ndio wanaweza kuwa mamalaka ambazo zinaweza kukupatia suluhisho?Hivi bro unadhani unawez ukanitish kwa jambo ambalo halin kichwa wala miguu nimeshakuambia kam kun usalam hum nko tayar kuwek hat details zangu ili nkamwone ndugu yangu na ikiwezekana kumtetea
Sas TCRA au jf inahusikaje kunipatia mm suluhisho kama si kutaka kupeleleza utambulisho wanguNinakutisha kivipi tena wakati hao watajwa ndio wanaweza kuwa mamalaka ambazo zinaweza kukupatia suluhisho?
Tahadhali ndo wakamate watu wasio na hatia. upuuzi kweliKuna wenzako kibao tu huwa wanakamatwa kule Garisa Kenya, wakiwa njiani kuelekea Somalia kujiunga na kundi la kigaidi la Al Shabaab.
Kwa hiyo wakati mwingine tahadhari ni muhimu.
Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa,
Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa
ni mkazi wa RUANGWA mjini
bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani
Sidhani kama unaogopa kupelelezwa au unauogopa Uongozi wa JF au TCRA au POLISI.Sas TCRA au jf inahusikaje kunipatia mm suluhisho kama si kutaka kupeleleza utambulisho wangu
Nyie masshoga mnaogopa Sana mazoeziKwa nini Karate zifundishwe kwa watu wenye imani moja tuu na mbaya kabisa ndani ya majengo yao ya kuabudia?
Tamaa, ukosefu wa maadili, ukatili, visasi, na ujinga na upumbavu.
Mtaelewana?Na hayo ndio niliyomuuliza Ndugu Faiza
Mtaelewana?