Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

Ishu ya picha nishatolea maelezo post za juu kwamba kwa imani yake hata kupiga picha ni dhambi so tumetafuta picha zake za nyuma tumekosa sasa unataka nitoe maelezo gani tena
Imani YAKE.

Hata kiongozi wa Daesh picha zake zipo na anajirekodi kila kukicha kuto avitisho.

Mkuu, posts zako zinazidi kuzua maswali na sintofahamu kubwa
 
Habari ndugu wana JF,

Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.

Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.

Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.

Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
serikali ina macho mia mbili!! haikosei,,,,bila shaka anaitwa bilal au?
 
Nashauri uongozi wa JF, TCRA na Polisi waingilie kati Uzi huu.
 
Nashauri uongozi wa JF, TCRA na Polisi waingilie kati Uzi huu.
Hivi bro unadhani unawez ukanitish kwa jambo ambalo halin kichwa wala miguu nimeshakuambia kam kun usalam hum nko tayar kuwek hat details zangu ili nkamwone ndugu yangu na ikiwezekana kumtetea
 
Hivi bro unadhani unawez ukanitish kwa jambo ambalo halin kichwa wala miguu nimeshakuambia kam kun usalam hum nko tayar kuwek hat details zangu ili nkamwone ndugu yangu na ikiwezekana kumtetea
Kwa sababu nina uhakika bro hausiki
 
Nashauri uongozi wa JF, TCRA na Polisi waingilie kati Uzi huu.
Kabla ya kusumbuka kuwatafuta hao watu mimi mwenyewe niko tayari kuweka details zangu mi sio type ya watu nayeogopa polisi pasi na kosa maalum n huk polisi nishawahi kwenda kupeleka kesi zaiidi ya tat na zote nilishinda
 
Hivi bro unadhani unawez ukanitish kwa jambo ambalo halin kichwa wala miguu nimeshakuambia kam kun usalam hum nko tayar kuwek hat details zangu ili nkamwone ndugu yangu na ikiwezekana kumtetea
Ninakutisha kivipi tena wakati hao watajwa ndio wanaweza kuwa mamalaka ambazo zinaweza kukupatia suluhisho?
 
Ninakutisha kivipi tena wakati hao watajwa ndio wanaweza kuwa mamalaka ambazo zinaweza kukupatia suluhisho?
Sas TCRA au jf inahusikaje kunipatia mm suluhisho kama si kutaka kupeleleza utambulisho wangu
 
Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa,

Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa

ni mkazi wa RUANGWA mjini

bahati mbaya sikuwa hata na picha yake na mimi niko mbali na mkoani
Sas TCRA au jf inahusikaje kunipatia mm suluhisho kama si kutaka kupeleleza utambulisho wangu
Sidhani kama unaogopa kupelelezwa au unauogopa Uongozi wa JF au TCRA au POLISI.
Mimi nisha kudadavua na nishakuelewa una lengo gani hapa JF. Sina la ziada.

Mchana mwema and goodluck in your search.
 
Back
Top Bottom