rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Hicho kijiji kilikuwaga na sifa za watu wenye tabia kama hizo za kigaidi, waliomkamata watakuwa hawajamuoneaAnaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita
Umesema mpo mama Mmoja, yet unavyosimulia unasema "mama yake " sio "mama".Hivi bro unadhani unawez ukanitish kwa jambo ambalo halin kichwa wala miguu nimeshakuambia kam kun usalam hum nko tayar kuwek hat details zangu ili nkamwone ndugu yangu na ikiwezekana kumtetea
Kwahiyo karate zinafundishwa kwa ajili ya mazoezi pekee sio?Nyie masshoga mnaogopa Sana mazoezi
1 kuhisi pasipo na ushahidi ni kosa,, kipi kimekuamunisha hao ni maafisa usalama? Kila binadam anasiri na maisha yake huwenda watu waliomkamata ni watu ambao wanafahamiana? Mambo ni mengi Kuna kudhurumiana,, Sasa ili upate majibu , kabla yakuja Ndani ya jarida hapa iliwapasa muende kutoa taarifa polisiHabari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Karate inaambatana na mazoezi ya viungo sshoga ww, hata majeshini na mashuleni inafundishwa pia, lengo watu wawe fiti wasiwe kama mashogaKwahiyo karate zinafundishwa kwa ajili ya mazoezi pekee sio?
Why karate na sio Mchezo mwingine.
Karate si mazoezi ya Viungo.Karate inaambatana na mazoezi ya viungo sshoga ww, hata majeshini na mashuleni inafundishwa pia, lengo watu wawe fiti wasiwe kama mashoga
Una akili sana wewe; ubarikiwe sanakuwa raia mwema vinginevyo usiwafundishe kazi watu wa ulinzi na usalama wa nchi yetu. Wao ndio wanajua namna ya kushughulika na wachenzi km hao. Wajue hii ni Tanzania siyo nchi ya majaribio
Kwanza poleni kwa changamoto hiyo kwa ndugu yenu kuchukuliwa .Brooo hivi gaidi serious auze maji kwenye mkokoteni sasa kuna maana gan ya kuwa gaidi
Hata kama watarud maiti kikubwa tunataka tujihakikishie mwili wa ndugu yetuPole sana... mtu "akikimatwa" na watu wasiojitambulisha, ni vigumu sana kurudi hai!
Kwamba wamekuja kumchukua, kuna mambo kadhaa, wana taarifa kuwa anajihusisha ugaidi au ana uhusiano na watu wanaojihusisha na ugaidi au ni bahati mbaya a.k.a mistaken identity.
Mleta mada anapima upepo, wa hizi taarifa ,kuna kitu anakijuaAfu mleta mada ukimuuliza maswali magumu anatukana matusi
At the same time anakwambia kakaake alishawahi kamatwa kwenye sakata la kibiti
Tatizo jina hapo,mtu unaitwa kuonewaAnaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita
Ha ha ha ha pole mkuu.Hawezi kujibu hata majibu lakini ndani ya hayo maswali ndipo majibu yalipo
Kwani ni lazima huo msaada aupate kutoka kwangu?Kama kakosa msaada polisi wewe utaweza mpa msaada gani?
Mkuu umejuaje kama amekamatwa na watu wa usalama wa taifa?wewe na ndugu zako mmejuaje hizo tuhuma za kuwa amekamatwa kwa kuhusiwa kujishughulisha na ugaidi?Jaman eeeh achen pre judgement huy aliokamatwa ni ndugu yangu wa damu tumezaliwa na mama mmoja ila baba tofauti na kuhusu suala la picha.. sina picha zake kwa sababu nina mda mrefu siko mkoani almost kama miaka saba na nimeanza kutumia smart baad y kufika mjin co kipindi chote hakukuwa n event ya kusem mim tungepga picha pamoj alaf kumbuk wat wa kijijin cio wot hupend kupiga picha ipa nipo kwenye mchakato wa kutumiwa,picha zake then nitazi upload
hiyo shughuli ya ndugu yako unayoijua ni undercover tu.Huyo anajihusisha na magaidi...na suni wanachukua vijana wengi kupeleka Kenya na mwisho Somalia kujiunga na Al shabab.Habari ndugu wana JF,