Tanzania katika issue ya kupambana na masuala ya ugaidi wako very serious mzee hyo task force inafanya kazi usiku na mchana.
Kuna jirani yetu alikuwa na duka la spear za magari makubwa sasa pale nje kulikuwa na boda ambae walikuwa wanamtumia sana kwa issue za kusupply spear kwa wateja.
Sasa kuna siku wazew wakazi wakaja kumchkua huyo boda boda,baadae ikaja gundulika kuwa anahusika na masuala ya ugaidi alshabab.
Baada ya maneno mengi ya majirani kwa tajiri kuwa kamtupa jamaa aozee jela bas akapata nguvu akaenda kufatilia kituo fulani hapa dar weee mpemba wawatu ndani simu zilipigwa kila sehemu maana wana ndugu na jamaa mpaka jengo jeupe lakini mpemba wala boda boda hawakutoka.
Baada kama ya week 2 mpemba ndo akatoka ndani,na mpaka naandika hapa ni kwamba hakuwahi kuongea chochote alichofanyiwa au maisha ya hko alipokuwepo yakoje,boda boda mpaka leo hatujui kama alitoka au la.
NOTE:
Task force inayohusika na masuala ya ugaidi ina nguvu kubwa mno na inafanya kazi usiku na mchana na ndani yake kuna mixer ya usalama,polisi,jeshi,magereza,uhamiaji mixer comando's na mpaka ukiona mtu kaja kubebwa jua wana full intro kuhusu mtu husika kwani hawabahatishi