Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Najiuliza hata kama anajihusisha na makundi ya uhalifu ndugu hawatakiwi kujua kwamba Yuko wapi? Hao usalama wao wanasheria ZAO tofauti?. Na mnauhakika gani kama ni usalama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipige pige kifua Mara tatu huku ukisema mimi shazili ni kengeeeKwa hili la kamata kamata zid ya waislam serikali haina umakin chochote bali chuki na mihemko zid ya uislam na waislam. maelf ya waislam wamekamatwa na kuawa na wengine kuteswa kisha kurudishwa chuki chuki zid ya waislam
Kama walimkata kama unavyodai ulijuaje kwamba anatuhumiwa kujifunza ugaidi? Wewe unatakiwa uisaidie polisiHabari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Ruangwa kwa yule RAIS YUKO BIZE IKULU ANAPIGA KAZI?Anaitwa ABDUL OMARI KUONEWA ni mkazi wa RUANGWA mjini hapo mjini penyewe nasikia wamekamatwa kama vijana sita
Hata wewe inaonyesha jins gan ulivyo na chukiJipige pige kifua Mara tatu huku ukisema mimi shazili ni kengeee
Poleni! Wafuatilie vituo vya polisi, mkuu wa wilaya/mkoa n.k.Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
kma una ndugu dar waambie waende police pale Tazara watawapa ripot yoteHabari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Kuna wenzako kibao tu huwa wanakamatwa kule Garisa Kenya, wakiwa njiani kuelekea Somalia kujiunga na kundi la kigaidi la Al Shabaab.Uonevu na chuki zid ya waislam ila wafanye wafanyavyo hawawezi zima nuru ya uislam
Serikali gani.?Acha uvivu na mashaka, kama yupo kwenye mikono ya serikali basi jua yupo mahali salama. Lkn kama kachukuliwa na magaidi wenzake, basi imekula kwake.
Mungemuonya huyo kaka yenu kwanza kwa tabia zake, naona unasema hayo yote kisa ni kaka yako, wacha vyombo vya usalama vifanye kazi yake.Habari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Hakuna vikundi kama hivyo tanzania, ni vingekuwepo tungeshapata maiti.Kwanini una imani ni watu wa usalama wamemchukua?
Inawezekana pia ni vikundi vingine vya uhalifu vimemteka.
Kwani kuna chanzo tayari.?Nilitegemea majibu lakini naona hakuna jibu hata Moja zaidi ya Porojo.
Unakemeaje Ugaidi pasipo kujua chanzo/sababu yake?
Maswali yangu yamelenga chanzo/Sababu. Wewe unaleta mambo yasiyo na maana.
Maria spaces ndo niniPoleni! Wafuatilie vituo vya polisi, mkuu wa wilaya/mkoa n.k.
Kila siku haya mambo yanaongelewa Maria spaces, nafikiri WaTz hawajali ni mpaka mtu yampate.
Ungejitambulisha kwanza ili wajue wewe ni nani? Unaishi wapi? Hii itasaidia kukujua na kukuletea msaada.
Huwezi kukamatwa hivi hivi lazima uwatakuwaa na connectionHabari ndugu wana JF,
Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa.
Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki, wakamkamata pasi na kutoa maelezo maalum. Wakabeba na simu zake hatujui aliko hadi leo hii. Mama yake mzazi analia kuchwa kutwa hajui kama mwanae ni mzima ama amekufa.
Kwakweli hali ya usalama nchini si shwari, na hatukuwahi kumuona ama kumuhisi ana vitendo hivyo isipokuwa tu ni muislamu dhehebu la sunni na shughuli yake kuu tunaijua.
Kwahiyo ombi langu kwa mamlaka; hatukatazi kuwakamata na kuwahoji, ila ni vizuri mkawafahamisha ndugu wa karibu ili waelewe wapendwa wao wamepelekwa wapi. Pia ndugu Wana JF, naomba muendelee kupaza sauti kutokana na vitendo hivi vya usalama wa taifa.
Lete habari mkuuNi kweli wamekamatwa Mimi nipo huku huku. Nenda Lindi mjini, kabla hawajasafirishwa... Mmoja wapo aliyekamatwa anashtumiwa kuhusika baadhi ya matukio ya ugaidi.
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app