Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Muache achapike na maisha miaka kama 7 mbele hivi bila ajira ndio atakapojua kumbe waokota makopo sio vichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Muache achapike na maisha miaka kama 7 mbele hivi bila ajira ndio atakapojua kumbe waokota makopo sio vichaa
Masela wengi hatufiki 50k kwa wiki na harakati zetu zisizo na nyuma wala mbele ndio mana watu wana maindi[emoji1787][emoji1787]Naona watu wengi wanamind hio 50,000 anayopewa jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Masihara haya mkuu.Kamaliza chuo mwaka juzi ila hadi sasa hana shughuli, alikuja hapa mjini pasaka mwaka jana ila nikamwambia abaki baki ajiskie huru hasa ukizingatia nyumbani kwangu kuna vyumba vya nje kwa hio haikuwa taabu kumuhifadhi.
Sina ubaya wala hila, mimi kila wiki huwa nampa 50 kwajili ya matumizi, sifanyagi hivi kwa ndugu wengine ila kwa kuwa yeye mama yake alikuwa akinisaidia mara kwa mara kiuchumi nilipokuwa chuoni, basi huwa ni kama narudisha fadhila tu na hata hiyo 50 haijawahi kunipa mawazo kumpa.
Alikuwa ananiambia ana apply kazi serikalini lakini kwa hali ilivyo nilimwambia ajira zilekuwa ngumu hivyo nimtaftie, ni kama mara 2 hivi nilitaka kumsaidia mchongo ila alikuwa anakazia kwamba kuna interview anakaribia kuitwa.
Basi mimi nikaamua nimtaftie kazi sehemu ya mtu tunaejuana, tuna undugu kwa mbali, sehemu ile kazi huwa ni jumatatu hadi ijumaa saa 1 na nusu hadi saa 12 jioni.. na jumamosi huwa ni saa tatu hadi saa saba hivi.
Mshahara ni laki 3 na kitu ila haujazidi 350k, kila jumamosi kuna posho ya weekend, nadhani itakuwa kati ya elf 10 hadi 15
Sasa nilipompa hii habari ni kama hajaichukulia vizuri, alipoanza kuniambia nisubiri subiri kuna interview anaisikilizia nikamwambia wala asiwe na hofu, akiitwa kwenye interiew ataenda ila hii kazi inabidi aianze, kiukweli kwa jinsi alivyochukulia hisi suala ni wazi kabisa ni kama vile haitaki.
Jana ndio nimefowadiwa meseji screenshot analalamika kwamba namfanyia manyanyaso kwamba kazi ina muda kidogo wa kupumzika, malipo kidogo, n.k.
Mimi nina rafiki yangu wa tangu chuo yeye alianza kupata mishe kabla yangu alikua anapiga kazi Fanikiwa.
Baada ya kama miaka miwili akapigwa chini akawa anafanya kazi za hapa na pale kipindi chote hicho tunatiana moyo tu, sasa mwaka huu mwanzoni akaniambia anadaiwa kodi na hana mchongo ile ishu ikanigusa kwakua mimi kama wa kiume naelewa hizo ishu.
Wiki mbili zilizopita kuna binti akaniconnect na ofisi fulani hivi ni Microfinance. Nikaenda kupiga interview kati kati ya maongezi nikamuambia jamaa wa usaili kwamba nina rafiki yangu ni mzuri sana katika hii ishu yenu coz kapiga sana kazi Fanikiwa.
Jamaa akanipa contacts nimpe mshkaji waongee. Nikampanga mshkaji wangu nikamuambia na mshahara (250K) akaniambia anamcheki mshkaji.
Kesho yake akaniambia amefikiria ameona hana haja na hiyo kazi, jamaa nilimmind coz mi nimepiga krosi kisha analeta drama. Nikamjibu sawa mzee haina shida. Nimeazimia kwamba hata itokee ishu gani siwezi kumwambia jamaa.
Before u go on a rant. Yes 250 ni ndogo lakini kipi bora sasa?
Elimu ya Chuo aweke pembeni achape KAZI, ikiwa hataki achana nae.Kamaliza chuo mwaka juzi ila hadi sasa hana shughuli, alikuja hapa mjini pasaka mwaka jana ila nikamwambia abaki baki ajiskie huru hasa ukizingatia nyumbani kwangu kuna vyumba vya nje kwa hio haikuwa taabu kumuhifadhi.
Sina ubaya wala hila, mimi kila wiki huwa nampa 50 kwajili ya matumizi, sifanyagi hivi kwa ndugu wengine ila kwa kuwa yeye mama yake alikuwa akinisaidia mara kwa mara kiuchumi nilipokuwa chuoni, basi huwa ni kama narudisha fadhila tu na hata hiyo 50 haijawahi kunipa mawazo kumpa.
Alikuwa ananiambia ana apply kazi serikalini lakini kwa hali ilivyo nilimwambia ajira zilekuwa ngumu hivyo nimtaftie, ni kama mara 2 hivi nilitaka kumsaidia mchongo ila alikuwa anakazia kwamba kuna interview anakaribia kuitwa.
Basi mimi nikaamua nimtaftie kazi sehemu ya mtu tunaejuana, tuna undugu kwa mbali, sehemu ile kazi huwa ni jumatatu hadi ijumaa saa 1 na nusu hadi saa 12 jioni.. na jumamosi huwa ni saa tatu hadi saa saba hivi.
Mshahara ni kama laki 3 na elf 30 hivi, pia kila jumamosi kuna posho ya weekend, nadhani itakuwa kati ya elf 10 hadi 15..kuhusu chakula cha mchana na maji kipo, kinapikwa nyumbani gari inaleta ofisini.. kasoro jumamosi tu.
Hii ni fursa nzuri kwake hasa ukizingatia atakuwa na uhuru wa kutosha akijipangia sehemu yake, hasa ukizingatia bado ni kijana,.mfano hapa kwangu ni marufuku kuingiza binti, saa moja geti linafungwa, n.k.
Sasa nilipompa hii habari ni kama hajaichukulia vizuri, alipoanza kuniambia nisubiri subiri kuna interview anaisikilizia nikamwambia wala asiwe na hofu, akiitwa kwenye interiew ataenda ila hii kazi inabidi aianze, kiukweli kwa jinsi alivyochukulia hisi suala ni wazi kabisa ni kama vile haitaki.
Jana ndio nimefowadiwa meseji screenshot analalamika kwamba namfanyia manyanyaso kwamba kazi ina muda kidogo wa kupumzika, malipo kidogo, n.k.
Mkuu inaelekea huwajui vizuri vijana wa siku hizi.Kuna watu wataamini kwamba unasema kweli
atakuja kustuka ameshachelewa sana huyo dogo.Muache aendelee kuchat maana anataka kuanzia 1.5 mil atapauka punde usimforce ndo degree holders wa bongo
[emoji23][emoji23][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]
😓😁😁😁😁😁😁Muache aendelee kuchat maana anataka kuanzia 1.5 mil atapauka punde usimforce ndo degree holders wa bongo