Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Maendeleo gani analeta tulia zaidi ya kutuma wawakilishi misibani na bahasha?. Kama kweli kuna ujenzi wa barabara wanayoisubiri kwa hamu wana Mbeya ni hiyo main road kuwa four way kuanzia igawa mpaka songwe. Pia barabara ya maloli itengewe barabara yake hata kuanzia inyara ipite nyuma utua mpaka itokee ifisi mbele kidogo ya mbalizi. Mbeya wamechoshwa na folen za kijinga pale mjini. Vinginevyo huo unaoita ujenzi wa tulia ni porojo tu.Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jombo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni maoni tu.
1.Kwasababu anayeshindana naye anafanya yanayoonekana tofauti na alipokuwapo yeye.Ni kwa nini moja kwa moja umemtaja Sugu!!??
Mkuu nasikia kaanza na barabara za mitaa ni mwendo wa lami kila kona.Maendeleo gani analeta tulia zaidi ya kutuma wawakilishi misibani na bahasha?. Kama kweli kuna ujenzi wa barabara wanayoisubiri kwa hamu wana Mbeya ni hiyo main road kuwa four way kuanzia igawa mpaka songwe. Pia barabara ya maloli itengewe barabara yake hata kuanzia inyara ipite nyuma utua mpaka itokee ifisi mbele kidogo ya mbalizi. Mbeya wamechoshwa na folen za kijinga pale mjini. Vinginevyo huo unaoita ujenzi wa tulia ni porojo tu.
Yetu macho,lakini Sugu asitumbukize pesa nyingi huko atakuja kumbuka huu uzi.Maana boda boda,akina mama na vijana wanapendelewa sana huko kwa mikopo rafiki, kitu ambacho ni kigumu sana waje kumsaliti.Wananchi ndo wenye maamuzi.
JK alichaguliwa na wamama sababu tu Eti ni mweupe😃😃😃
Usishangae Betina akakataliwa Kwa sababu za kijinga ya kuwa ni MWEMBAMBA!!!
Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe.
Tulia ameleta maendeleo gani mbeya?bure kabisaNdugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni maoni tu.
Mitaa ipi nzovwe iyunga nk hadi iwambi ni vumbi tupuMkuu nasikia kaanza na barabara za mitaa ni mwendo wa lami kila kona.
Pesa unazomtuhumu Sugu kuziandaa Kwa uchaguzi ndo Pesa hizo hizo unazomsifia Betina kuwahonga boda na mamantilie Kwa mikopo nafuu!!!!Yetu macho,lakini Sugu asitumbukize pesa nyingi huko atakuja kumbuka huu uzi.Maana boda boda,akina mama na vijana wanapendelewa sana huko kwa mikopo rafiki, kitu ambacho ni kigumu sana waje kumsaliti.
Upo Mbeya mkuu?,taarifa za kuaminika ni kuwa mikopo rafiki ambayo ni mitaji kwa vijana,akina mama ni nje nje,barabara ni mwendo wa lami kila kona,utake nini zaidi mkuu?.Tulia ameleta maendeleo gani mbeya?bure kabisa
Mkuu subili pengine huko hajaanza tu.Mitaa ipi nzovwe iyunga nk hadi iwambi ni vumbi tupu
Ndio lile vumbi unalomwaga pembeni mwa T1 ndio unaijenga hiyo freeway!!!,kuna mtu aliwageuza watu kuwa mazuzuUpo Mbeya mkuu?,taarifa za kuaminika ni kuwa mikopo rafiki ambayo ni mitaji kwa vijana,akina mama ni nje nje,barabara ni mwendo wa lami kila kona,utake nini zaidi mkuu?.
1.Kwasababu anayeshindana naye anafanya yanayoonekana tofauti na alipokuwapo yeye.
2.Nampa uhalisia asijetumia kiasi kikubwa cha pesa ambacho atajutia kwa kudanganywa na chawa.
Nb:Leo ni Mbeya muda ujao nitashauri jimbo lingine na ni ushauri tu ambao yeyoye angetoa kwa kuona/kusikia uhalisia uliopo.Asante.
Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni maoni tu.
Mbona umeshupalia, asitumie hela, asitumie hela! Hizo hela, ni za kwako?Yetu macho,lakini Sugu asitumbukize pesa nyingi huko atakuja kumbuka huu uzi.Maana boda boda,akina mama na vijana wanapendelewa sana huko kwa mikopo rafiki, kitu ambacho ni kigumu sana waje kumsaliti.
Mkuu,Dr.Tulia bado ana nguvu ya ushawishi, hivyo kupinduliwa na chama chake sio rahisi,tunza maneno yangu.Pesa unazomtuhumu Sugu kuziandaa Kwa uchaguzi ndo Pesa hizo hizo unazomsifia Betina kuwahonga boda na mamantilie Kwa mikopo nafuu!!!!
Usilolijua ni kuwa Betina hatakiwi na kundi la Walamba asali na Mgaso . Hao ndo wanampa nguvu suguu Ili wamwangushe Betina .
Kama uko karibu nae mwambie asigombee kuepusha aibu maana hatoshinda.
Mkuu vuta subra huenda akawashangaza.Ndio lile vumbi unalomwaga pembeni mwa T1 ndio unaijenga hiyo freeway!!!,kuna mtu aliwageuza watu kuwa mazuzu