Ndugu yangu Sugu 2025 tumia bajeti ya kile unachoweza kuhimili ukipoteza

Ndugu yangu Sugu 2025 tumia bajeti ya kile unachoweza kuhimili ukipoteza

Tumia uhuru wa kutoa maoni vizuri.
Mkuu ni ushauri tu,maana watu wanataka maendeleo na Dr.Tulia nasikia ni mwendo wa kuwaletea maendedeleo tu,sasa ili chawa wasimdanye mheshimiwa Sugu,nampa ushauri,nimekosea wapi?
 
Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni maoni tu.
Wewe kapuku huna uwezo wa kupangia watu mbunge wa Mbeya Mjini , Nakuhakikishia kwamba Sugu atashinda jimbo la Mbeya Mjini , wakati wa kuabudu majeneza umekwisha
 
Yetu macho,lakini Sugu asitumbukize pesa nyingi huko atakuja kumbuka huu uzi.Maana boda boda,akina mama na vijana wanapendelewa sana huko kwa mikopo rafiki, kitu ambacho ni kigumu sana waje kumsaliti.
Mkuu messenger namba moja duniani alisalitiwa kwa vipande therathini vya dinari ije kwa huyu binadamu mdogo kabisa how..?
 
Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni maoni tu.
Bara Bara gani iliyojengwa tangu 2020?
Haya matope yanawekwa barabara kuu ya tanzam ndio barabara imejengwa?
Mwambieni ukweli bibi kiroboto, siasa zikiwa fea mbeya hatoboi asubuhi na mapema
 
Wewe kapuku huna uwezo wa kupangia watu mbunge wa Mbeya Mjini , Nakuhakikishia kwamba Sugu atashinda jimbo la Mbeya Mjini , wakati wa kuabudu majeneza umekwisha
Mkuu kwa upendo wa mwenyezi Mungu mimi sio kapuku,tukirudi kwenye uzi ni kuwa ninyi chawa ni wa kuogopwa sana maana ndio mnadawanganya wenzenu kuwa watashinda ilhali uhalisia ni tofauti na wanaishia kufilisika.
 
Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni maoni tu.
🐝🍯🍯🍯🍯🍯🍯🍯🍯🐝🐝🐝🐝🐝🐝🍯🍯🍯, hategemei kugombea
 
Bara Bara gani iliyojengwa tangu 2020?
Haya matope yanawekwa barabara kuu ya tanzam ndio barabara imejengwa?
Mwambieni ukweli bibi kiroboto, siasa zikiwa fea mbeya hatoboi asubuhi na mapema
Mkuu nasikia ni barabara za mita na madaraja ya pembezoni+mikopo na misaada.
 
Huu ni mkakati wa kupiga piga chagizo kisiasa wakati nyuma ya pazia mkakati halisi unahusisha wakurugenzi na akina Mahera?
 
ushauri kapewa sugu ila kuna watu wanakereka...why???
 
1.Kwasababu anayeshindana naye anafanya yanayoonekana tofauti na alipokuwapo yeye.
2.Nampa uhalisia asijetumia kiasi kikubwa cha pesa ambacho atajutia kwa kudanganywa na chawa.
Nb:Leo ni Mbeya muda ujao nitashauri jimbo lingine na ni ushauri tu ambao yeyoye angetoa kwa kuona/kusikia uhalisia uliopo.Asante.
Serikali ndo imeamua toa pesa sababu Ni mbunge wao kutoka chama chao Nani asie jua hata miongoni kwa kauli za mwenda aliwahi sema nipeni mtu flani ukimleta mwengne hata maji hapa hamtakaa muyaone
 
Mkuu,Dr.Tulia bado ana nguvu ya ushawishi, hivyo kupinduliwa na chama chake sio rahisi,tunza maneno yangu.

Bado miaka miratu wewe unapiga debe leo?. Siasa haziko hivyo. Katika wanasiasa ambao hawana ushawishi ni huyo Tulia.
 
Back
Top Bottom