Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ushauri wenye tija hutolewa na mtu mwenye uzoefu na uelewa wa kutosha kwenye kitu anachoshauri.1.Kwasababu anayeshindana naye anafanya yanayoonekana tofauti na alipokuwapo yeye.
2.Nampa uhalisia asijetumia kiasi kikubwa cha pesa ambacho atajutia kwa kudanganywa na chawa.
Nb:Leo ni Mbeya muda ujao nitashauri jimbo lingine na ni ushauri tu ambao yeyoye angetoa kwa kuona/kusikia uhalisia uliopo.Asante.
Wewe umewahi kugombea ubunge mara ngapi? Jimbo gani? Umewahi kushinda mara ngapi? Uma uzoefu mkubwa kumzidi Sugu?