Mimi Sugu ananiheshimu sana na anajua namiliki Kiwanda na anafahamu kwamba mimi ni exporter , wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanaagiza bidhaa nje na kuleta Tz , mimi napeleka bidhaa nje ya Nchi , kwa faida yako na mbumbumbu wengine ni kwamba hata huyu Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tulionana London kwenye kongamano la Wafanyabiashara wa Kitanzania .
Sifanyi siasa za kujikimu , mimi nailipa Chadema hela ili ikomboe nchi ili bibi yako hapo Mwakaleli asidhulumiwe , kwahiyo Sugu hawezi kunilipa , muwe mnawafuatilia watu humu jf kabla ya kuwasingizia uongo