Ushauri wenye tija hutolewa na mtu mwenye uzoefu na uelewa wa kutosha kwenye kitu anachoshauri.1.Kwasababu anayeshindana naye anafanya yanayoonekana tofauti na alipokuwapo yeye.
2.Nampa uhalisia asijetumia kiasi kikubwa cha pesa ambacho atajutia kwa kudanganywa na chawa.
Nb:Leo ni Mbeya muda ujao nitashauri jimbo lingine na ni ushauri tu ambao yeyoye angetoa kwa kuona/kusikia uhalisia uliopo.Asante.
Imawezekana upo ndotoni. Nimekuwepo Mbeya kwa muda wa miezi 3 ndani ya mwaka huu kwa nyakati 3 tofauti.Upo Mbeya mkuu?,taarifa za kuaminika ni kuwa mikopo rafiki ambayo ni mitaji kwa vijana,akina mama ni nje nje,barabara ni mwendo wa lami kila kona,utake nini zaidi mkuu?.
Mkuu niufyate wapi?,mimi kazi yangu ni kutoa ushauri tu yasije yakamkuta ya mbunge mbarali wa 2010-2015.Mmeanza kuufyata Mkia tumboni hahaha Roho mbaya sura mbaya.....
Wananchi ndo wenye maamuzi.
JK alichaguliwa na wamama sababu tu Eti ni mweupe😃😃😃
Usishangae Betina akakataliwa Kwa sababu za kijinga ya kuwa ni MWEMBAMBA!!!
Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe.
Mkuu ni ngumu sana kujua kinachoendelea kama umezungukwa na chawa,sijamzuia Mh.Sugu kugombea lakini ajue ushawishi wake umepunguzwa vibaya na mwanadada huyu.Kwani amekuomba ushauri?
Sugu yupo Mbeya, jimbo ambalo alikuwa mwakilishi wake. Ina maana yeye haoni mpaka wewe umwambie? Amekuwa mbunge vipindi viwili, kipindi cha tatu, kama tujuavyo, dikteta aliamua kusiwe na uchaguzi, akagawa ubunge kama njugu. Hivi unaamini kwenye hayo masuala ya uchaguzi, wewe una uzoefu kumzidi Sugu?
Mwache Sugu afanye kadiri atakavyoamua.
Wewe unadhani kwa namna ulivyo chawa wewe, kila mtu huwa ni chawa?Mkuu ni ushauri tu,maana watu wanataka maendeleo na Dr.Tulia nasikia ni mwendo wa kuwaletea maendedeleo tu,sasa ili chawa wasimdanye mheshimiwa Sugu,nampa ushauri,nimekosea wapi?
Mimi nina uzoefu mkubwa na siasa na naweza kabisa jua kwa ushindani huu huyu ataangukia pua au laa.Ushauri wenye tija hutolewa na mtu mwenye uzoefu na uelewa wa kutosha kwenye kitu anachoshauri.
Wewe umewahi kugombea ubunge mara ngapi? Umewahi kushinda mara ngapi? Uma uzoefu mkubwa kumzidi Sugu?
Ngoja tuone,muda ni msemaji mzuri utaongea.Imawezekana upo ndotoni. Nimekuwepo Mbeya kwa muda wa miezi 3 ndani ya mwaka huu kwa nyakati 3 tofauti.
Hayo unayoyasema, labda kama kuna Mbeta nyingine, na siyo hii inayojulikana kwa kila mtu.
Hahahaah mkuu hakuna haja ya kupaniki tusubili muda ufike tujue nani alikuwa low brain.Wewe unadhani kwa namna ulivyo chawa wewe, kila mtu huwa ni chawa?
Ninyi wenye akili kibaba ndiyo rahisi kutumiwa, na kuwa chawa. Sugu is mentally fit, atafanya kwa kadiri akili yake inavyomtuma, sidhani kama anahitaji ushauri kutoka kwa low brains.
Hakuna Chawa TajiriMkuu kwa upendo wa mwenyezi Mungu mimi sio kapuku,tukirudi kwenye uzi ni kuwa ninyi chawa ni wa kuogopwa sana maana ndio mnadawanganya wenzenu kuwa watashinda ilhali uhalisia ni tofauti na wanaishia kufilisika.
Ushauri wako unaweza kupewa umuhimu na mtu yule tu mwenye akili ndogo.Ni ushauri tu ambao anaweza kuukubali au kubeza.
Mkuu kwanza mimi sio chawa kwasababu hao wote mh.Sugu wala Dr.Tulia hawana maslahi kwangu,pili na mwisho mimi sio tajiri kwa tafsiri za uchumi,lakini kwa upendo wa Mwenyezi Mungu ninaweza kusafiri nitakako,kuvaa nipendacho na kula nipendacho.Lakini asante mkuu Erythrocyte wewe ukiwa tajiri inatosha utatuwakilisha wengine.Hakuna Chawa Tajiri
Una ndoto za mchana. Tulia ana ushawishi gani hapa Mbeya?Ngoja tuone mkuu,lakini upepo unavuma kumpendelea Dr.Tulia.
Bila msaada wa wengine Tulia Ackson hana uwezo wa kuitisha hata Mkutano wa hadhara Mbeya Mjini , siku hizi anamkodisha DiamondMkuu kama ni serikali imetoa pesa lakini sifa anapewa Dr.Tulia,na kwasababu hawakuona hayo kipindi cha mh.Sugu,watataka kuendelea Dr.Tulia.
Bora asigombee tulia lazima ashinde iwe kwa halali au haramu maana serikali ya ccm haiwezi kuruhusu spika wake ashindwe.Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni maoni tu.
Hahahah mkuu nasikia akiitisha mkutano watu wanakanyagana huko bila msaada wa wasanii kwakuwa amekuwa suluhisho la matatizo yao.Mkuu Erythrocyte vipi kyela huendi kugombea au umeamua maisha yako kuwa mpiga zumali wa chadema?Bila msaada wa wengine Tulia Ackson hana uwezo wa kuitisha hata Mkutano wa hadhara Mbeya Mjini , siku hizi anamkodisha Diamond
Hakuna cha haramu mkuu,kama barabara safi,maji tele,mikopo ya kumwaga,misaada kwa wasiojiweza kama yote,unategemea nini zaidi ya ushindi wa kishindo?Bora asigombee tulia lazima ashinde iwe kwa halali au haramu maana serikali ya ccm haiwezi kuruhusu spika wake ashindwe.
Mimi nipanic kwaajili ya nini? Webye akili wanakushangaa, yaani utoke huko kusikojulikana, useme unampa mtu ushauri ambaye hajakuomba, wakati uzoefu na mafanikio yako kwenye jambo unalosema unashauri ni zero. Hivi wewe kweli mzima?Hahahaah mkuu hakuna haja ya kupaniki tusubili muda ufike tujue nani alikuwa low brain.
Kibwengo...Mkuu niufyate wapi?,mimi kazi yangu ni kutoa ushauri tu yasije yakamkuta ya mbunge mbarali wa 2010-2015.