ππ ahh siasani ni stress tu. Endeleeni kuwa na moyo huo huo wa kuzifuatilia kwa ukaribuNasikia Katibu Mkuu CCM tayari. Ni kutoka kambi ipi Msoga, White Hair au Chato?. Kama nimekosa Jukwaa, Kumradhi.
Usiendeshwe na mihemuko ya kingino. Wanawake wengi wazuri hawakuwahi kuolewa. Uzuri wa ngozi sio uzuri na utamu wa nyama, wala upole wa mnyama husika. Tulia tafuta mwanamke mwenye nidhamu, heshima na busara, utaishi maisha marefu. Zaidi utajenga uchumi wako na kuchangia uchumi wa taifa.Wadau hamjamboni nyote
Karibuni tujadili
Halafu wahabeshi sio wachoyo ni mama huruma wazuriSasa hao cushites wa ethiopia si ndio hawa hawa wambulu, wanyiramba na wanyaturu. Au umeona tofauti gani mkuu
Ila pia watu wasafiri hadi ethiopia kwa ajili ya sex tourism [emoji16]
Hii nayo imetufikisha kwenye Jukwaa la Siasa?Njoo huku mkoa wa Manyara....utawaona zaidi ya hao
Kuna chapati zao za Anjera zinajazwa pilipili mpaka pomoni...Hao Wasichana wa Kihabeshi wanajua kumhudumia Mwanaume ila wanapenda kufosi ule chakula chao.
Rwanda Watoto wa Kitutsi ni moto wa kuotea mbali.Wengine wapo Rwanda ingawa mmm nasikia UTI suguu huko kawaidaaaa
Tuwe serios plz je manyala wilaya ganiNjoo huku mkoa wa Manyara....utawaona zaidi ya hao
Hizo Injera halafu mboga imejazwa Pililpili na wanakuwekea Mayai wakati unamkaza ukijamba humo chumbani hakukaliki inabidi uzime AC ufungue Madirisha.Kuna chapati zao za Anjera zinajazwa pilipili mpaka pomoni...
Ukatae kula sasa....
Singida gani?Singida napata mali safi sana zaidi ya iyo
ndani ndani huko kwa wamburuSingida gani?
Au kwa Wamang'ati na Wataturu,kuna siku Gari liliniharibikia pale karibu na Igunga nikakutana na Wanawake na Wasichana wa Kitaturu nikawaambia nina kiu wakanipeleka hadi kijijini wakanipa maji nikawakuta Majamaa yao yanakunywa Mtukuru niliingiwa na hofu sana nikawa nasema leo mkuki ni halali yanguπ€ndani ndani huko kwa wamburu
Wewe sasa ndio umeongea pointi.wadigo/wazaramo/wasambaa/wazigua ni bora sana kuanzia kwenye utamu, utalaam kitandani, usafi wa maeneo, kumjali mwanamume na kumthamini, kupika nk.
Hao ni wachafu maeneno, mitindo huru hakuna, viuno zero, hawajui kupika, wajeuri..
UTI Suguuuuu ......asikwambie .ntuuuRwanda Watoto wa Kitutsi ni moto wa kuotea mbali.