Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Jamaa yenu kishatemwa hata kwenye ligi ya ndondo (G-League). Mad Ants ambayo iko chini ya Indiana Pacers imempa mkono wa kwa heri. BIG NBA BUST of all time.
 
Hebu Ongeza sauti kidogo!! Sentensi ya mwisho inasema "Soon tutamuona tu NBA hata ikiwa game 1 inatosha kabisa"

Labda NBA ya Buza, hata G-League wameshammwaga
 
Hebu Ongeza sauti kidogo!! Sentensi ya mwisho inasema "Soon tutamuona tu NBA hata ikiwa game 1 inatosha kabisa"

Labda NBA ya Buza, hata G-League wameshammwaga
Duuh aisee!!
kwa hiyo ndio mwisho wa career yake!?
 
Hebu Ongeza sauti kidogo!! Sentensi ya mwisho inasema "Soon tutamuona tu NBA hata ikiwa game 1 inatosha kabisa"

Labda NBA ya Buza, hata G-League wameshammwaga
Mbona unachuki naye hivyo alikulia demu wako nn
 
Jamaa yenu kishatemwa hata kwenye ligi ya ndondo (G-League). Mad Ants ambayo iko chini ya Indiana Pacers imempa mkono wa kwa heri. BIG NBA BUST of all time.
Can you update us on reasons behind him parting ways with the G-league team ?
 
Uzee nao unamsumbua maana Watz kwa kudanganya tuko vizuri
 
Can you update us on reasons behind him parting ways with the G-league team ?
The truth was that his NBA return seemed to be getting less likely with each passing game in Fort Wayne. True, he was averaging 8.8 points, 9.5 rebounds and 3.6 blocks per 36 minutes, but he was only getting 16.5 minutes per night. In the 14 games the Mad Ants had played up to that point, he'd started only two and appeared in only nine.
 
Can you update us on reasons behind him parting ways with the G-league team ?
Full story from his accidental rise to NBA, flashy lifestyle and lack of initiative is here:

Sina haja ya kukueleza mafanikio yangu maana hutaamini na hayatakusaidia kwakua haunifahamu ila huyo jamaa tusiposema ukweli vijana wengi tutachukulia kawaida kuusema ukweli mwisho wa siku unafki utatawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kafika huko juu kwa juhudi zake mwenyewe...sote tumemjua baada ya yeye kuanza kupata mafanikio...Ana washauri wake waliofanya hadi wewe uanze kumjua,na ndio waliomfanya afike hapo alipo... Wewe pamoja na kutumia wakati wako vizuri hujamfikia bado.... Yeye alishaingiza Billioni 10 kwa mwaka sijui wewe unaingiza shingapi... Zaidi ni kumkalia kitako mtandaoni eti tunamfundisha... Kumfundisha ndo kumkejeli mnamkejeli hivyo... Wabongo tuna roho mbaya aisee... Sijui tulirithi wapi.
 
Inaonekana kuna watu walikuwa wakikisubir kipindi hiki kwa hamu sana ili waanze kuponda ilhali hawajui hata mechi ya bakei ina quarter ngapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…