Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Hii sababu Ina ukweli? Naona inatumika Sana Kama fimbo ya kumponda Mtz mwenzetu.

Ni wivu wa kijinga tu wa watanzania Hasheem kila alipokuja Tanzania watu walikua wanambeza na wengine kina TID walikua wakimchokoza bila sababu sijui walitaka asirudi abaki huko huko? Na hata angekua harudi wangesema anaringa amesahau nyumbani..mwafrika huwa hapendi tu kuona mwenzake akipata kile ambacho yeye hawezi kukipata
 

Hakika kubeza alipofika Hasheem inashangaza sana
 

Well said, japokuwa kalagabaho anasema tunahate tukisema ukweli ila nashindwa kuelewa overall pick namba 2 akaflop vile alafu mtu alokuwa wa 16 akashine ville wakati pick zinafanyika kina James na Stieve walikuwa wanamwona HASHEEM NI MONSTER nna uhakika walikuwa wanamwogopa kabisa kwene game ila jamaa akachezea shilling chooni, penye ukweli tuwe tunasema tu tusikae kimya turekebishane tu panapobidi, kuna article nlishawahi soma wazungu wanasema alivyokuja NBA timu ziliweka ela nyingi kwake wakitegemea maajabu badala yake akawa anazidiwa statistics na hadi watu kama kina RAJON RONDO na ISAIA THOMAS sasa jitu kama hashimu unazidiwaje stats na vidogo kama hivi ? Twendeni mbele na kurudi nyuma...ILA KAMA ATAFANIKIWA KURUDI KWELI AMEPAMBANA MAANA MWAKA JANA NLISOMA ARTICLE NYINGINE INASEMA AMEAJIRI PERSONAL TRAINER KABISA WA KUMWEKA SAWA....All the Best Hasheem
 
Jamaa yenu kama kawaida yupo DAR na kina JOKATE tena,nilidhani atakuwa kajichimbia huko kwa Trump anajifua akienda kwenye interview huko BUCKs iwe imoooooo asepe na kijiji chote.
 
Hahaha jamaa yupo kutoa support kwenye program ya Giants of Africa...

Paschal Siakam (NBA champ with Raptors) did the same when Masai & co payed a visit in Cameroon...
Jamaa yenu kama kawaida yupo DAR na kina JOKATE tena,nilidhani atakuwa kajichimbia huko kwa Trump anajifua akienda kwenye interview huko BUCKs iwe imoooooo asepe na kijiji chote.
View attachment 1185597
 
Unaushahidi bob. Maana jiandae kuitwa majina yote mabaya na wananzengo.
Hasheem 2009 alikuwa Hot sana,Siwezi kumsahau huu jamaa alinipa mzuka sana wa kufight/kukaza/ku_hustle,Nakumbuka alipochaguliwa tu 2nd draft na kuanza kula mashavu,alipotinga bongo tu Clouds wakamdaka XXL akafanya interview ,kisha akachagua wimbo Jeremiah - Imma Star ndio ulikuwa hot sana,baada ya mda nikamuona Mlimani City akiwa na Vogue Lake Jeusi yaani nilikuwa namkubali sana,alituweka TZ kwenye ramani,nilikuja kumtoa maana baada ya kulewa sifa.
 
Why Hashim "Hasheem Thabeet" had a downfall career with Grizzlies, timu yake ya kwanza kabisa NBA...

Y'all should read this...

https://bealestreetbears.com/2019/01/17/memphis-grizzlies-tony-allen-hasheem-thabeet/

Bado hoja ipo.palepale kwa background yake hasheem alihitaji sana mwongozo kitu ambacho Memphis Grizzlies hawakuwa nacho ( hiyo development department).. na kwa kuwa hasheem hakuwa na kipaji cha asili ktk mchezo huo alitegemea mwili na kukituma tu so ilikua rahisi sana kupotea hasa pale alipokosa focus na kujifanyia mambo mwenyewe...
. So kwa mujibu wa hiyo article Grizzlies wanahusika moja kwa moja kwa kupotea Hasheem ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…