Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Mkuu hii GSW msimu huu wamekuwa kama malaya, leo alfajiri Blazers yangu itajipigia tu vile itakavyo. Namuona Lillard akitupia zaidi ya pointi 35.

Fate has taken its way, Clay ni majeruhi, Curry ni majeruhi na jana/juzi DRaymond Green naye kaumia. So wako handicapped.
 
Sijui umeandika upuuzi gani? Yaani HASHEEM apambane kivyake bila support ya.nchi then we umekaa unatarajia jasho lake lilete matunda kwa kwa nchi na kizazi.chako? Yaani seriously unakasirika? .. tufanye yeye amefikia hapo then you take it to the next level!! Simple!!
Pumbavuu wewe, alipamba kivyake na nani? Yeye ndiye alijipeleka US? Unajua ni connection gani zilitumika mpaka yeye akafika Collage US?

Na hata kama angepambana kivyake huo ni ubinafsi na uchoyo shwaini wewe. Kwahiyo kwakuwa Nyerere alisaidiwa na watu fulani wachache kwenye harakati za kudai Uhuru baada ya kupata Uhuru basi Nyerere na Ukoo wake na waliomsaidia wangejimilikisha hii nchi sababu walipambana kivyao na babu yako yeye hakufanya chochote wala kutoa mchango wowote. Acha roho ya kipuuzi kijana, na ndio maana kakako ni hoe hae mjinga mkubwa wewe..

Steph Curry amelelewa na baba basketball player na hakuwahi kuwa na shida maishani mwake ila 2011 alifika Tanzania kusaidia kwenye kambi za wakimbizi. Kwani hao wakimbizi walishawahi kumsaidia chochote Steph?? Huo uselfish si ajabu ndio umewafanya mufilisike. Na utaishia kupiga picha tu na kugongea konyagi bar
 
Mkuu hiyo ligi itahusisha vilabu kutoka kwe nchi ama taifa kama taifa. Na itahusisha timu ngapi pia mda wa kuanza tafadhali
Inahusisha vilabu bingwa vya nchi. Itaanza kuchezwa kwa zonal then zitapatikana timu kadhaa ambazo sasa zitacheza kama ligi.

Zonal ya East Africa itahusisha nchi nafikiri 6 ambapo bingwa wa nchi (JKT) atacheza na bingwa wa nchi zingine. Then kila zonal itatoa timu 2 au 4 ambazo sasa zitacheza as a league.

Huu ni mwanzo tu lakini a dream ni kuwa na league kama ilivyo NBA ingawa kuna changamoto za umbali (navigation) na sponsors. Ila tutafika tu
 
Duh kumbe jamaa alikuwa anakula mkwanja mrefu hivyo
Yap alikuwa anaingizwa mkwanja mrefu sana,watu tukimsema TOLU mtuelewe jamaa "AMEFUKA" Tolu Amedumbukiza shilingi Chooni,Kutoka kuingiza Bil 10 kwa mwaka mpaka mil 70? Tuendelee Kumpongeza?

HTS.jpg
 
Aisee kwahiyo misimu minne tu jamaa tayari alikuwa kaisha weka kibindoni billion 26 na ushee. Ila NBA wanalipa pesa nyingi sana aisee
Yap alikuwa anaingizwa mkwanja mrefu sana,watu tukimsema TOLU mtuelewe jamaa "AMEFUKA" Tolu Amedumbukiza shilingi Chooni,Kutoka kuingiza Bil 10 kwa mwaka mpaka mil 70? Tuendelee Kumpongeza?

View attachment 1254409
 
Hasheem wakati ndo anaingia NBA nilikuwa ndio naanza advance hapo dar

Niliwahi kutana nae pale Don Bosco akwatrain watoto kwenye kliniki iliyodhaminiwa na SPRITE

Jamaa jina lilitambaa kitaa usipime Kuna machizi nilikuwa nasoma nao skonga wakawa Hadi wanajidai wamepiga nae kikapu makongo hahahahah[emoji1787]

Hasheem alikuwa ana push RANGE ROVER SPORT akija Bongo anafikia HYATT REGENCY zamani KEMPINSKI akiulizwa why kwaninj hafikii kwao anasema "Usalama na afya yake "[emoji1787][emoji3]

Stephen curry draft pick namba 7 ,James harden draft pick namba 3
Black Griffin draft pick namba 1

Wote Hawa wamelamba maximum contract NBA wanalamba between 28-35m $ kwa mwaka achilia mbali matangazo

Hao jamaa walikuwa drafted nae mwaka mmoja tena yeye akiwa draft pick namba 2 just imagine [emoji44]

Life is not fair
 
Alinunua Hummer(Nyeupe),Range Rover(Black) na Tako la nyani(Harrier-Nyeusi) alimnunulia mama yake...Sidhani kama alikumbuka kununua hata kiwanja achilia mbali kujenga.

View attachment 1252628
Nenda bagamoyo magambani Beach ukaone hekalu aliyokuwa anaijengaa ila sjui kma finishing mpk Sasa imekwisha ila ni jumba Kweli Kweli

Ova
 
Kabisa mkuu umeongea ukweli mtupu,Hasheem asingetoa BOKO angelinufaisha sana taifa,watu wakimsema vibaya hasheem wanakuchukulia ni hater wakati ni muhimu kuambiana ukweli ili ambao wapo kwenye peak wasicheze,ni kweli 255 Mbwana samatha anatupaisha sana sisi waTZ na tunafurahia na tumeona somo kwa mbwana hafanyi UJINGA tena wa Hasheem,hata akija bongo ni kimya kimya na akija kuiwakilisha Taifa star akishamaliza mechi huyo usiku usiku anachukua pipa anarudi KAZINI,hataki mchezo na KAZI.

Wabongo sisi ni wanafiki,hasheem kasanda, tumwambie ukweli tu,2009-2010 alikuwa kwenye peak sana na alikuwa anaingiza mkwanja mrefu hatari,sifa zilimponza,liwe funzo kwa watu wengine katika level zote,ukipata chance usiichezee....Hasheeem hawezi kurudi tena hata awange usiku kucha kashapoteza...umri nao unamtupa.
Ila kikapu hakikuwa kwenye damu yake
Sema urefu aliokuwa nayo ndy walimtengeneza hko achezee kikapu
Kuhusu kusanda hpo ndipo PA kujifunza kwa wengine......
Bongo zamani walikuwepo wacheza kikapu mahiri na wengi wao walienda USA lkn hatukuwaskiaa tena
Kuna mnyama mmoja alikuwa anaitwa rwehabura barongo alikuwa anapiga kikapu hatariiii alienda GA USA watu wote tukajua ataingiza college hadi NBA lkn dah jamaa akawa kimyaaaa hatukumskiaaa

Ova
 
Nenda bagamoyo magambani Beach ukaone hekalu aliyokuwa anaijengaa ila sjui kma finishing mpk Sasa imekwisha ila ni jumba Kweli Kweli

Ova
Sawa mkuu ila bagamoyo siyo mwenyeji sana,mie mwisho kufika ni MAMBA camp na Kaole Ruins nielekeze Magambani Beach ni wapi nikajionee ila 2014 alipigwa chini NBA sasa kama wewe uliliona kuanzia 2014 kushuka chini basi obvious atakuwa ajamaliza maana milioni 70 kwa mwaka sidhani hata kama zinaweza kupiga hata plasta achilia mbali kununua aluminuum window na grills.
 
Ni Kweli unachosema alipopigwa chini Alipoteza nafasi na kurudi tena issue maana umri ndy hvyoo

Ova
 
Aisee kwahiyo misimu minne tu jamaa tayari alikuwa kaisha weka kibindoni billion 26 na ushee. Ila NBA wanalipa pesa nyingi sana aisee
Kasoro chenji za bilioni kadhaa alizokuwa nazo Don LUGUMI, alifeli wapi kumiliki hata Mansion moja ya maana hapa Bongo....

Hakika haya maisha ni kitendawili, pesa yote imeyeyuka...
 
Pumbavuu wewe, alipamba kivyake na nani? Yeye ndiye alijipeleka US? Unajua ni connection gani zilitumika mpaka yeye akafika Collage US?

Na hata kama angepambana kivyake huo ni ubinafsi na uchoyo shwaini wewe. Kwahiyo kwakuwa Nyerere alisaidiwa na watu fulani wachache kwenye harakati za kudai Uhuru baada ya kupata Uhuru basi Nyerere na Ukoo wake na waliomsaidia wangejimilikisha hii nchi sababu walipambana kivyao na babu yako yeye hakufanya chochote wala kutoa mchango wowote. Acha roho ya kipuuzi kijana, na ndio maana kakako ni hoe hae mjinga mkubwa wewe..

Steph Curry amelelewa na baba basketball player na hakuwahi kuwa na shida maishani mwake ila 2011 alifika Tanzania kusaidia kwenye kambi za wakimbizi. Kwani hao wakimbizi walishawahi kumsaidia chochote Steph?? Huo uselfish si ajabu ndio umewafanya mufilisike. Na utaishia kupiga picha tu na kugongea konyagi bar

Nonsense comment from simple minded Muddasucka!
 
Ila kikapu hakikuwa kwenye damu yake
Sema urefu aliokuwa nayo ndy walimtengeneza hko achezee kikapu
Kuhusu kusanda hpo ndipo PA kujifunza kwa wengine......
Bongo zamani walikuwepo wacheza kikapu mahiri na wengi wao walienda USA lkn hatukuwaskiaa tena
Kuna mnyama mmoja alikuwa anaitwa rwehabura barongo alikuwa anapiga kikapu hatariiii alienda GA USA watu wote tukajua ataingiza college hadi NBA lkn dah jamaa akawa kimyaaaa hatukumskiaaa

Ova

Barongo na muddy mpemba walikua next level walikua na vipaji hasa!! Kama hasheem angezaliwa na kipaji kama kile na umbo lile dah !! Ndio maana siwaelewi wanaomlaumu mtu aliyejifunza kiiapu ukubwani eti acheze kama Michael Jordan
 
Wale walikuwa hatari
Hasheem hakuwa na kipaji
Wakina barongo na mpemba ilikuwa hatari
Barongo alikuwa 6 ft 4 nahisi
Alikuwa Ana dribble, dunks za hatari
Alikuwa Ana busu mpk rim
Alipoenda GA marekani masela kibao tulijua Ile ngoma college then NBA ila sijui Alipoteza vp

Ova
 
Back
Top Bottom